Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA.

kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima.


Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu.


Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini .



Nyinyi si Mabingwa wa Kuwapa watu Kesi ,nyie SI Mabingwa wa Kuua watu.

Haya Wananchi wanakuja hivohivo mnavyotaka
 
Sabato Njema.

Tatizo lao wanadhani kuwa kuifuta chadema ndo watu watakubali upumbavu wao
 
Wanaelewa kuwa hii ishu ni ya kitaifa hakuna chama wala nn, na ndio maan picha zote na video zote nilizoona mpk sasa, sijaona bendera ya chama chochote pinzani zaidi ya zile zao kuchomwa
9/12
 
Back
Top Bottom