Magu sio wazungu tuu . Ataa sisi watz aliacha kutuita angalau maskini akatushusha daraja la chini ya maskini .wanyonge
Hii mbaya sana kuliko ubaya wenyewe!! ndo maana Mungu alimkasirikia mno Jiwe mpaka akamnyang'anya tonge mdomoni! lile jamaa lilizidi mnoo! khaa! km li Ngedere vile, linavo tamani kula mahindi kwa pupa!! kuliko wenzake,linanyima hata watoto wake msosi!
Make huo udhalili tulio fanyiwa waafrica watanzania na jiafrika lenzetu jeusi tii bin!!! haumithiriki tena lilolosomeshwa na Watanzania huru, tena basi na walimu wa kitanzania wenzetu, lilie ni zao la Graduant wetu kabisaaa!! wa chuo chetu tukuka!!
Ni aibu mno kwa maprofessor walio zalisha kituko km kile, na vitukuu wa hao maprofessor waliathirika, tena ilikuwa ni aibu mno kusema amezalishwa na chuo kikuu cha Mlimani!! Na lenyewe lilikuwa lina jinadi kabisaa eti nilisomea Mlimani bana!
Hata Mzungu mwenyewe mkoloni hakuthubutu/ wahi fanya hayo alofanya huyu jamaa, eti ''walala hoi''! huku anajenga chato! wala mkoloni hafanyi hivo mpaka leo, na Madini anabeba kimya! Mkoloni anatuita kwa kutustahi, kama hivi '' Third World Countries"
Hilo jambazi mfu! tena bila aibu likatwaa hela za hao hao! wanyonge na Maskini wake, likazidi kuwafanya wanyonge kuwa maskini zaidi ya lilivo wakuta , wengine wakafa kwa pressure! na kukatwa kabisaa kazini, bila malipo!! eti ni
wafanyakazi hewa, bila kufikiria utumishi wao kwa Umma walio utumia, hata km walikuwa hivo kweli si waliwekwa na sirikali hiyo hiyo kazini bana?? angekuwa msafi angeishitaki serikali yake aliyirithi...
1.walisomea vyuo vya sirikali,
2.wakafaulishwa na vyuo vya sirikali? huko vyuoni si walipewa Mitihani na wanachuo Ada walitoa?
3.waka tainiwa na serikali ili kuanza kazi hizo?
4.wakapandishwa madaraja kwa kazi hizo,
sasa kama ni ivo haya yoote ya leo yanatoka wapi?? nasema hivi ''WALIPWE HAKI ZAO!'' Hata kama hii sirikali ya vilaza itatoka watadai wajukuu!! sirikali zijazo, msikubali mlioachishwa kazi wekeni madai yenu vizazi na vizazi! wasisitizeni wadai chao!
Mungu amenituma niwaambie hili, hii i ilikuwa ni dhruma numberly moja ya Jiwe bin Magufuri! Msikubali ada za wazazi wenu ziende Bure, km hizo hela za Ada zingebaki mngejenga Nyumba kubwa vizazi na vizazi,
wakti huo huo!! walikuwa wamesomea vyuo vya sirikali, kwa hela ya sirikali tena waliteuliwa na sirikali zilizopita, akawadharau watangulizi wake, yeye akajua zaidi kuumbe kuna Mungu mjuvi! akamtia adabu, bila aibu likaenda kanisani eti kuungama!!! dhihaka mbaya sana ile!!
Mchana kweupe tena bila aibu, zile zile hela zao wafanyakazi hewa! zikaenda kulijengea utoporo wa kimataifa Chato Village tena usio na tija kwa taifa na kimataifa! na mbaya zaidi
akatumia ndugu zake na marafiki zake kiupendeleo wa maksudi tu! eti ''Mayanga constructions company LTD'' tena wakajenga faster kuliko faster yenyewe, hizi hela zinge jenga wilaya ya Mugumu inter, air port,
ingelipa mwaka tu! ajili ya kubeba watalii wanao enda Serengeti ile ina maana!! sasa chato nani atakwenda huko?? kufanya nini kwanza!!
hata wafanya biashara hakuna,
Mazao ya Biashara km Bukoba Hakuna,
Viwanda labda hakuna.
wajanja km Arusha na Bukoba hakuna.
woote wakulima wa jembe la mkono, hivi alikuwa na akili yule?
Ok! Mugumu kwa nini .....sababu ni kwenye Hifadhi! inayo leta mapato!
sasa eti mbwembwe hayo yoote eti hili ili rijamaa litue na kupaa kirahisi kijijini kwao km jilivo kuwa Badolite ya Mobutu! siku zote za maisha yake kama li-Rais la maisha !! mpaka kifo kimkute ,
manake tayari pale lilisha jipigia debe eti Rais wa Mihula yote! kwa kutumia li kibaraka Musiba Mwee!!, nani alilituma kufanya maamuzi hayo km siyo shetani???!! tena Musiba alitia aibu sana kwa mijamaa ya Musoma,
kure Mara mura!! anatafutwa atiwe kiberiti, make wakurya bana! wamepiinda mno kuliko upinde wenyewe, hivi Musiba yuko wapi kwanza! aje huku atwambie kwa nini alimuheshimu Mahiti kwa kiwango cha kujidhalilisha vile? huyu siyo wa Mara huyu!
Tamaa gani hii? za kishamba hivi? eti lengo lake la kuutaka urais tena na tena ni ili wajanja wasije pate gundua janja ya makosa ya Rais huko mbele ya safari ya Mama Tz ! akawajibishwa?..... au Rais wa mihula yote manake ilikuwa nini labda sielewi mie??
Midege yoote ile fwamba tupu!! sidhani km leo hii bado zaruka zile ati! pale tunajua alikula cha juu kwa sana tu, ili ajilimbikizie mijifwedha ya kununua umaarufu, na kujirisha upepo! hata kwanza watz hawakumpenda kiviile!! ni basi tu,
Utawala wa maskini Bwana? hee!! shida tupu, alidhani ndo katoka kimaisha, eti awe km Trump family! Mwee! kuumbe maskini maskini tu!! Mama Samia hakusema neno, hawezi sema anajua haya yote, si mtangulizi wake?
Hili naandika hapa nataka liwe fundisho kwa Maskini wote Duniani, wenye tamaa mbaya, hasa Maskini nyie mnaotamani kuwaongoza waafrica! mnisikie!! lazima, sasa tuna badirika kuanzia leo tutakuwaa tunateua Wagombea wenye asili ya utajiri tupu!!
Huu ujamaa wenu huu mmeshindwa kuutumia!! siyo dhambi tukibadilika sababu watanzania sisi siyo misaafu isiyo badirika, na wala mabadiriko yetu siyo mpaka tuyaite Ubepari.
Twaweza kuuita neno, simple tu, kama hivi Ujamaa wa mpito kuelekea Ujamaa kamili (UMKUKA political slogan baasi!!) na bado tuka shangaza Dunia, na hii ndo ikawa slogan yetu Duniani na Dunia ikatuelewa hivo!
Siyo ku copy na ku-paste slogan ya Ubepari wa kimagharibi !! eti kwa sbabu tu, tumeshindwa kuvuka mwee!! tukifanya hivo!! hapo ndo madharau ya wazungu yanapoanziaga tena tukifuata yao wata tudharau kweli! hee!
Any way natoa kitabu soon! mkitafute........mengi mtajua humo!