Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 871
Huyu mtu mshamba Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.
Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.
Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?
Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?
Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.
Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).
Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.
Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Baada ya Mungu ni mzungu?Sasa kwa taarifa yako baada ya mungu ni mzungu!!ndio mnajidanganya hivyo?!!unadhania wazungu wamuweke kati(meko)atatoboa?!! Hata kama akili yako imehifadhiwa na sterling wa filamu(god must be crazy) kule lumumba huwezi shindwa kulijua hilo!!
Huyo mungu ndio atanunua hayo madini yako?hiyo bajeti yako asilimia kubwa wao ndio wanakusaidi, licha ya kujifanya kuwa wafrika ndio tuna mjua mungu sana, mbona ndio sehemu yenye watu makatili sana, na vitendo vya kishezi, kuliko sehemu yoyote ile duniani?!!
Mkuu baada ya Magufuli kunya jeuri na kujenga ukuta kuzunguka mgodi wa Mererani, tanzanite imeshuka bei kutoka Tshs 1.3m per ounce mpk Tshs 0.3mWazungu gani hao unaowasemea,
Ni sawa na mtu akutukanie chakula kisha uzire kula ili hali huna pengine pa kukipata sas wewe si ndio utakufa na njaa?
Tanzanite inanunuliwa na wafanya biashara binafsi sasa wataacha biashara yao kisha pesa watazlisha kutoka wapi?
Hayo ni mawazo yako tu, kama imeshuka bei inawezake kuongeza pato la serikari kutoka billion 170 Hadi bilioni 700 kwa mwaka?Mkuu baada ya Magufuli kunya jeuri na kujenga ukuta kuzunguka mgodi wa Mererani, tanzanite imeshuka bei kutoka Tshs 1.3m per ounce mpk Tshs 0.3m
Wewe kataa lakini ukweli uko pale pale!!eti kudra za mwenyizi mungu!!hayo madaraja yote, anayojisifia pesa inatoka wapi?any way sio kosa lako, kwa wafia dini na mambo ya uchumi, nitakuwa nakuonea tu, kuna bara linalomjua mungu kuliko afrika?lakini mbona ndio mji mkuu wa matatizo yote duniani?kwa mawazo haya ya mtu mmoja kujifanya wewe ndio kila kitu, yaani mawazo yako ndio kila kitu, utegemee eti utakuja kuwa sawa na mzungu?!!kumfanya mtu mnyonge kuwa unyonge nayo ni sifa?!!badala ya laana!!Baada ya Mungu ni mzungu?
Huo ndio umaskini nambari one -- umaskini wa kutojithamini. Kama kuna kitu dunia imetufundisha karne baada ya karne ni kwamba binadamu wote ni sawa. Wazungu siyo jamii ya kwanza kuwa na mafanikio ya vitu: historia inatufundisha kuwa jamii mbalimbali za watu, kuanzia wamisri, wamedi na waajemi, warumi, wachina na wahindi, na hata waafrika, wote walishawahi kuwa na vipindi vya mafanikio na utajiri katika zama zao. Ni kwa vile unaishi kipindi ambacho wazungu wanaonekana kuwa juu tena wapo juu kwenye vile vitu unavyovithamini wewe, hasa vile vinavyotumia pesa kuvipata.
Lakini yapo mambo mengi ambayo ukijithamini tu utaona jinsi ambavyo baada ya Mungu anayefuatia si mzungu. Utagundua kuwa alichonacho mzungu ni ujuzi na maarifa, na hivyo vitu havibagui rangi ya ngozi ya mtu wala kabila.
So the president is right. Mimi binafsi sihitaji mzungu kuishi maisha yangu. Na pia hiyo ndiyo imani ya Rais wangu kwamba Tanzania itazidi kusitawi, si kwa kutegemea kudra za mwenyezi Mzungu bali kwa kudra za mwenyezi Mungu. Aliyempa mzungu ndiye mwenye uwezo wa kumpa mtanzania tena mara dufu, iwapo tu utajithamini na kuondoa huo upuuzi wa kuabudu mwanadamu mwenzako mwenye madhaifu na mipaka kama uliyonayo wewe.
Ni kwasabb wamepora tanzanite kibao toka kwa dealers mbalimbali kwasabb ya sheria onevu halafu wakauza kwa pamoja.Hay
Hayo ni mawazo yako tu, kama imeshuka bei inawezake kuongeza pato la serikari kutoka billion 170 Hadi bilioni 700 kwa mwaka?
Kwa hiyo unataka kusema bila mzungu Tanzania haiwezi kuwepo? Waambie sasa hao wazungu -- sijui hata hao wazungu unaowazungumzia ni wazungu wa wapi -- kwamba maisha yetu sisi hayawategemei wao. Na kwa taarifa yako wazungu wanaihitaji Afrika zaidi kuliko Afrika inavyowahitaji wao. Umeaminishwa kuwaona wazungu ni wa lazima katika maisha yako kwa sababu ya indoctrination ya kikoloni. Uhusiano wangu mimi na wazungu ninaofanya nao kazi ni wa win-win, wananihitaji mimi kwa sababu ya maarifa na ujuzi ninaouweka mezani kwao katika kufanya kazi zao, na wao wananipa changu. Hawanisaidii, tunahitajiana. Vivyo hivyo kwenye mahusiano ya nchi na nchi baina ya Tanzania na wazungu. Kama wao wanadhani wanatusaidia sana si waache waone kama tutakufa?Wewe kataa lakini ukweli uko pale pale!!eti kudra za mwenyizi mungu!!hayo madaraja yote, anayojisifia pesa inatoka wapi?any way sio kosa lako, kwa wafia dini na mambo ya uchumi, nitakuwa nakuonea tu, kuna bara linalomjua mungu kuliko afrika?lakini mbona ndio mji mkuu wa matatizo yote duniani?kwa mawazo haya ya mtu mmoja kujifanya wewe ndio kila kitu, yaani mawazo yako ndio kila kitu, utegemee eti utakuja kuwa sawa na mzungu?!!kumfanya mtu mnyonge kuwa unyonge nayo ni sifa?!!badala ya laana!!
Utajiri wa ujinga ndio umejaa.Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.
Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.
Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?
Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?
Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.
Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).
Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.
Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Umenena vema mkuu.Utajiri wa ujinga ndio umejaa.
waelezekama sio hao wazungu hata Tanzania isingekuwa ni nchi, kabla ya wao kuja ilikuwa ni vikundi vya makabila makabila tu yasiyo na ramani
Jifunze, acha kuziba masikio.Eleza ujinsia wako kwanza Acha porojo hizo
Maswali mengine mnajiuliza kwasababu hamjui au kwasababu mnaataka tu kushabikia.Alichokisema rais ni msimamo wa serikali. Chanjo hizo hazieleweki, wanaotuletea hizo chanjo kwa siku wana 4000, kwanini hawakufanya kwao kwanza wapone? Na kingine na sio nchi moja inatengeneza chanjo pia. Tusipokua makini tutalishwa sumu.
Ila mnaotamani kutafuta chanjo mkachanjwe at your own risk
Maswali mengine mnajiuliza kwasababu hamjui au kwasababu mnaataka tu kushabikia.
Unajua mwenendo wa chanjo hizo Ulaya na Marekani?
Unajua nini wameamua kufanya?
Kifupi ni kuwa zoezi hili kwao limepamba moto japo wanaliendesha kwa hiari na wameanza na wazee ambao immune zao zipo low.
Fuatilia kabla haujabisha.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahahaha..Wewe hujawahi kusoma sifa za wasukuma "hata akielemewa na mzigo atasema twente tu" sishangai mimi
HeheheheheVitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.
Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.
Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?
Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?
Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.
Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).
Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuhehechumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.
Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Kama taifa tunatakiwa tuwe pamoja na siyo kubishana kwa ushabiki.Leta na matokeo ya hilo zoezi lililopamba moto
Kama taifa tunatakiwa tuwe pamoja na siyo kubishana kwa ushabiki.
Bado hata wao hawajafanya evaluation kwani hiyo chanjo mpaka sasa imewafikia watu wachache sana. Lakini kuna mataifa maambukizi yanashuka kwa kiwango kikubwa na wanatarajia kupunguza zaidi masharti ya lockdown.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app