Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.

Wazungu wakiacha kununua tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.

Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda CHATO??

Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema? Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.

Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama rais akiugua , first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).

Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.

Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
apunguze dharau! akitoka madarakani tunaumia sisi wanyonge! we ngoja tuletewe viwavi jeshi vinakula mbaka mashina..
 
Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.

Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.

Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?

Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?

Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.

Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).

Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.

Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati
Nchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu mabeberu wanayajua mavieitee!!????
Sisi tunatembelea vieitee!!!
 
Attachments

  • IMG_20210127_125033.jpg
    IMG_20210127_125033.jpg
    86 KB · Views: 1
  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
Kweli awamu hii Tanzania imepata Rais...laah
 
Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.

Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.

Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?

Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?

Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.

Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).

Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.

Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Umeongea ukweli mkuu,Rais ni nembo ya nchi hizi kauli zake zinaifanya nchi yetu ionekane ni ya vichekesho,Covid 19 ni pandemic ya dunia na sisi sio kisiwa katika glope hii.

Halafu Mkiitwa SHITHOLE COUNTRY mnalialia wakati mko tayari kupokea any shit.....🤔🤔
 
Jana umemsifia Kwa mapambio yote na Leo unamponda?
Maisha ya kibongo si mchezo
Wengine wanajitoa akili,hata wakati mwingine unajiuliza kalipwa kutetea kile anachoimbia pambio au akili zimeanza kuwarudi sawa wengine.
 
Acheni kushobokea wazungu wote tunategemeana tulicho nacho sisi wao hawana na ili wakipate lazima waje kwetu

Na kama hamjui asilimia kubwa ya utajili walionao wazungu kwa sasa waliuvuna Africa kipindi cha ukoloni

Maraisi wengi wa Africa huwa hawaamini kama wanaweza kuendesha nchi bila kuenda kulialia ulaya lakini JMP ameonyesha kuwa inawezekana kuendesha nchi bila ya kuenda Uingereza na marekani kulialia
 
Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.

Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba. Helium hata matumizi yake hatuna.

Bila mzungu utalii wa kila aina haupo na husimama kabisa. Ikiwa watanzania huwa hawaendi kutalii huko kwenye mbuga za wanyama maarufu kama Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi, nani ataenda Chato?

Sasa Magufuli anaposema nchi hii ni tajiri kwa kuwananga wazungu anaelewa anachosema?

Zimbambwe, Mugabe alikuja na approach hii hii ya Magufuli ya kuwananga wazungu. Matokeo yake umaskini uliowakumba wazimbabwe baada ya wazungu kuondoka na kususa sote tunaujua.

Mwambieni Magufuli, apunguze dhihaka dhidi ya wazungu. Dawa anazotumia yeye kama Rais akiugua, first class medicines, hazitengenezwi Chato. Sasa sijui kaziamini vipi? (Nimechomekea tu jamani).

Wazungu wametutangulia,na wametuwahi wakashika mifumo yote ya kibiashara na kiuchumi. Tuwe wapole, tuwatumikie hawa makafiri ili tupate mradi wetu.

Mkumbusheni Magufuli anachokifanya ni sawa na Matonya kujaribu kushindana na Bakharesa.
Matonya anapomkejeli Bhakressa unaweza chukua popcorn na soda kuangalia movie!
 
"SASA HIVI TUNAAMINISHWA KILA MZUNGU AJAE NCHINI NI MPELELEZI NA UMASIKINI NDO UZALENDO."

Mkuu umezungumza maneno yenye maana kubwa sana
Huyu mzee anatucost kichizi kwa kauli zake za kuwabeza hawa wazungu.Kaka yangu kapack baada ya kampuni fulani ya wamarekani kufunga na kuondoka nchini.
SASA HIVI TUNAAMINISHWA KILA MZUNGU AJAE NCHINI NI MPELELEZI NA UMASIKINI NDO UZALENDO ni.ujinga wa hali ya juu.
 
Wazungu wanatutegemea sana. We unafikiri kwa mfano, Congo ikizuia madini ya Cobalt unajua ajira ngapi zitakufa Ulaya na Asia??. Afrika ikizuia miti shamba yake isikatwe kwa ajili ya kutengenezwa dawa, unajua watu wa ngapi watakufa Duniani ??? Afrika ndiyo bara lenye kila kitu, Ndiyo maana nchi zote zinapigana kuwa na ushawishi Afrika.

Hayo magonjwa mengi unayozungumzia ukifanya uchunguzi utagundua waliotengeneza ni hao hao wazungu. Kwa nini wame y’a tengeneza, Sababu ni ileile niliyo ieleza awali.. Wanajua vizuri sisi tunaweza ishi vizuri tu bila wao..... Hivyo ni lazma watengeneze mazingira ya sisi kuwategemea...

Usidharau Afrika ...
 
Jana umemsifia Kwa mapambio yote na Leo unamponda?
Maisha ya kibongo si mchezo
Nadhani ungempongeza mleta uzi kwa kueleza ukweli; hana mahaba na mtu, ana mahaba na facts, na hu ndio uzalendo. Wengine wanamponda mhe hata katika mazuri; binafsi nimependa hata style yake ya kueleza mambo kwa nidhamu kabisa, ame assume either mhe au watu wake wa karibu wanasoma nyuzi za humu including hi. Big up kwa mleta UZI
 
Spewing shit to deflect shit is rolling in shit..
Alichokisema rais ni msimamo wa serikali. Chanjo hizo hazieleweki, wanaotuletea hizo chanjo kwa siku wana 4000, kwanini hawakufanya kwao kwanza wapone? Na kingine na sio nchi moja inatengeneza chanjo pia. Tusipokua makini tutalishwa sumu.

Ila mnaotamani kutafuta chanjo mkachanjwe at your own risk
 
Back
Top Bottom