The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT.
TAL anapata support kutoka kila mahali duniani.
TAL anapata support kutoka kila mahali duniani.
Wakenya wahuni hao ndio dunia?
Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei LisuWatanzania bado hatufahamu faida ya watu kama TAL …ndio maana support ya raia ni ipo chini sana. Kiongozi kama Lissu tunamuacha. Ref Kenya wapo mbele na muda.
Kwani ana lala basi..?Kwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.
Lissu ni mtu potential sanaWatanzania bado hatufahamu faida ya watu kama TAL …ndio maana support ya raia ni ipo chini sana. Kiongozi kama Lissu tunamuacha. Ref Kenya wapo mbele na muda.
Na iwe hivyo- AMENKwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.
Walevi wa mama ipoje hiyo timuSoon Mama yetu ajiandae kisaikologia .
Malengo ya waliyompitisha njia anayopita yameshatimia kwa zaidi ya 85%
Mimi ni CCM na nilikuwa team ya #Walevi wa Mama ila huku aliko sasa mmmh! No
Yaani.. watu wana sahau quick fast.Kwa Africa huku ni ngumu,Kenya kwenye katiba mpya,tume huru,uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza kulikua na maandamano palepale Kenya,"Ruto must go",Je'Ruto alisha go au bado yupo?.
ccm wenyewe hawamtaki kisa ni kumtumia mwanae Abdul kuiba pesa nyingi na pia Mzimu wa Magufuli unamtafunaKwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.
Hicho si kigezo cha Polisiccm kuwaonea kuwabambikia kesi za uhaini chademaMfumo wa demokrasia hujawai kuleta maendeleo ya kweli kwa mwanachi. Nitajie nchi mbili tu duniani zenye demokrasia zimeleta maendeleo kwa wananchi wake??
Jibu ni HAMNA.