Ndo agenda mmekuja nayo ili kumfanya atawale milele?Demokrasia ni rahisi sana kupandikiza vibaraka, Tanzania inatakiwa iwe na mfumo wake na maono au sera za long term ambaye yyote atakae ingia aendeleze. Na cashflow ya mapato iwe wazi. Yaani hata Samia akitoka awekwe Lisu sidhani kama kuna jipya.