Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke
Tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha washika tonge ukiwahoji kuhusu mitego waliyo tega watakushughulikia, (ostracism)
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Pia kwenye jamii huwa kuna watu ambao hufurahia yasiyotarajiwa, (uncertainty), ama mambo mabaya kuwatokea wengine, (pessimistic people)
Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini?
Je hayo madhara ya jamii kunyamaza tunayajua
Silence surrenders public responsibilities