Mwambieni Samia atapata tabu sana Lissu siyo Besigye

Mwambieni Samia atapata tabu sana Lissu siyo Besigye

Anaponzwa na ego, ego, ego
exactly 100%
1747999204024.png
 
Bitozo anaenda kuondoka kwa aibu kama Mbowe.
ccm magufuli watamwengua dakika za mwisho na kumweka Majaliwa au Biteko, Udikiteta wake kuidhinisha bilion 15 kwa kazi ya kuidhoofisha chadema ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Hatujawahi kushuhudia upinzani kama huu, mataifa mbali mbali kutulaumu na kutuzonga namna hii?haya yote ni sababu ya mtu mmoja tu
 
Hatujawahi kushuhudia upinzani kama huu, mataifa mbali mbali kutulaumu na kutuzonga namna hii?haya yote ni sababu ya mtu mmoja tu
Siyo kweli, taja kiongozi wa nchi aliyelaani kukamatwa/kufukuzwa

kwa wahuni wa Kenya, hata kwao Kenya ni kivuruge
 
Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu

Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Wewe unalishwa ni Samia? Mbona unakuja huku na kumsapoti?
 
Kwa nnavyomjua Samia wala hana habari yaani toka atoe ile hotuba kuwaambia watovu wa adabu ,hajikeri moya yaani si mtu wa kujikera moyo ile kuja na hotuba amewashtuwa wanaohusika na kuyashugulikia mambo ya watovu wa adabu ,yaani Samia amesena sekunde selasini tu watovu wadabu wote makelele wiki nzima na bado wanaendelea sasa angekaa nusu saa kuwapa makavu?
20250413_152647.jpg

Hii ndio imemfanya imkere na kutoa kauli hizo za kishambenga
 
ccM wamewekeza kwenye mbumbumbu wa bongo movie na waigizaji wa kicjaga wale eti wapambane kwa maneno na wakenya, wakenya hawataacha haya mambo yapite
 
Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu

Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Kuna mwenzako alikua anaomba ushauri CONDOM ILIPASUKA AFANYE NINI?

ANGALIA NA WEWE YASIKUKUTE...
 
Hivi kuna haja gani ya kulazimisha kuwaongoza watu ambao hawakutaki, wanaokuchukia, wanaoona uwepo wako hapo ni kijitabu tu ndo kimekuweka hapo.
 
Tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke

Tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha washika tonge ukiwahoji kuhusu mitego waliyo tega watakushughulikia, (ostracism)

Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Pia kwenye jamii huwa kuna watu ambao hufurahia yasiyotarajiwa, (uncertainty), ama mambo mabaya kuwatokea wengine, (pessimistic people)

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini?

Je hayo madhara ya jamii kunyamaza tunayajua


Silence surrenders public responsibilities
Umesema kwa lugha , mantiki na tafsida kama ambavyo ningesema. Kuna mada nilitoa humu kuhusu mfumo wetu wa malezi ulivyotufubaza kuanzia ngazi ya familia. Hayo tunayoyaona, ukimya wetu wa kijinga, fikilia mwenzetu anachukuliwa na kupotezwa, menzetu aliyekuwa akitetea maslahi yetu , sisi tunabaki kimya as aif nothing happen. Fikilia fikilia fikilia huku aliyemchukua akitamba na kukuhasa kwamba next ni wee ukifumbua mdomoa, huku tuko kimya, Mfumo umetufanya tumekuwa mazezeta
 
Jamani dola ikiamua huwezi kuzuia mifano kumbuka yule mwanahabari wa saudia dola ilimkata vipande na kumpakia kwenye mabegi mpaka saudia dunia ilipiga kelele kikowapi yule mpizani wa urusi kafa kikowapi Rwanda imewachija wapinzani ndani na nje wamefanywa nini ukianzisha vita jiamini ww sio kutengemea misaada tz inaweza kumua wakapiga kelele tu
Hv Saudia na Tz wanafanana?
 
Back
Top Bottom