Mwambieni Samia atapata tabu sana Lissu siyo Besigye

Jamani dola ikiamua huwezi kuzuia mifano kumbuka yule mwanahabari wa saudia dola ilimkata vipande na kumpakia kwenye mabegi mpaka saudia dunia ilipiga kelele kikowapi yule mpizani wa urusi kafa kikowapi Rwanda imewachija wapinzani ndani na nje wamefanywa nini ukianzisha vita jiamini ww sio kutengemea misaada tz inaweza kumua wakapiga kelele tu
 
Panakaribia kupambazuka,,,,,, ! Kushupaza shingo kutaisha tu
 
Mfumo wa demokrasia hujawai kuleta maendeleo ya kweli kwa mwanachi. Nitajie nchi mbili tu duniani zenye demokrasia zimeleta maendeleo kwa wananchi wake??

Jibu ni HAMNA.
 
Kwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.
ccm wenyewe hawamtaki kisa ni kumtumia mwanae Abdul kuiba pesa nyingi na pia Mzimu wa Magufuli unamtafuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…