Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Sasa hivi anapiga gambe sana kupunguza stress alizojisababishia mwenyewe.Kwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.
Wewe unapewa Riziki na nani?Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu
Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Kwa iyo wewe unataka kusiwe na demokrasia ili samia atawale mpaka afe amrthishe Abdul?Mfumo wa demokrasia hujawai kuleta maendeleo ya kweli kwa mwanachi. Nitajie nchi mbili tu duniani zenye demokrasia zimeleta maendeleo kwa wananchi wake??
Jibu ni HAMNA.
Uko kwa shemeji una jamba jamba tuLisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu
Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Shemeji anamlea vizuri, ndio maana ana Jamba jamba hovyo!Uko kwa shemeji una jamba jamba tu
RAIS SAMIA atapata Tabu uku Lisu akiwa kolokoloni au mm sijawaelewa!!!!! Kweli Akili ni nywele kila mtu anazake.
Lakini je, unaamini pia kwamba wananchi nao wakiamua dola nayo huwa inakosa cha kufanya na inasalimu amri?. kama dola ndio mwamuzi wa mwisho, mbona inataka na kusihi watu wapige kura ili kuiweka madarakani?Jamani dola ikiamua huwezi kuzuia mifano kumbuka yule mwanahabari wa saudia dola ilimkata vipande na kumpakia kwenye mabegi mpaka saudia dunia ilipiga kelele kikowapi yule mpizani wa urusi kafa kikowapi Rwanda imewachija wapinzani ndani na nje wamefanywa nini ukianzisha vita jiamini ww sio kutengemea misaada tz inaweza kumua wakapiga kelele tu
Madhara ya kukimbia shule ndio, unaishia kuwa na mbio za ku comment wakati kichwa kuko empty as fuccckLisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu
Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Ruto muulize kwanini alifuta billKwa Africa huku ni ngumu,Kenya kwenye katiba mpya,tume huru,uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza kulikua na maandamano palepale Kenya,"Ruto must go",Je'Ruto alisha go au bado yupo?.
Kwa iyo wewe unataka kusiwe na demokrasia ili samia atawale mpaka afe amrthishe Abdul?
Aaaa Mkuu labda juisi,gambe kabisa?πSasa hivi anapiga gambe sana kupunguza stress alizojisababishia mwenyewe.
Sio Africa tu,,nenda hata Israel,,Netanyahu must go ilidumu miaka 2,jamaa bado yupoKwa Africa huku ni ngumu,Kenya kwenye katiba mpya,tume huru,uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza kulikua na maandamano palepale Kenya,"Ruto must go",Je'Ruto alisha go au bado yupo?.
Hukuwaelewa wakenya , hawakutaka Ruto aondoke bali walitaka sera zake zifutwe za makato mapya na bei zq vyakulaKwa Africa huku ni ngumu,Kenya kwenye katiba mpya,tume huru,uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza kulikua na maandamano palepale Kenya,"Ruto must go",Je'Ruto alisha go au bado yupo?.
Watu wanapinga sera ukiona yupo ujue alijirekebishaSio Africa tu,,nenda hata Israel,,Netanyahu must go ilidumu miaka 2,jamaa bado yupo
Anaponzwa na ego, ego, egoLisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu
Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
akina Martha Karua, nyumbani kwao Ubelgiji, na UE, wapi kungine duniani??
ππππEti wana akili ndio hao waliuwawa na mchungaji wakisema wanakwenda mbinguni huko shakahola
USSR