Mwambieni Samia atapata tabu sana Lissu siyo Besigye

Bitozo anaenda kuondoka kwa aibu kama Mbowe.
ccm magufuli watamwengua dakika za mwisho na kumweka Majaliwa au Biteko, Udikiteta wake kuidhinisha bilion 15 kwa kazi ya kuidhoofisha chadema ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Hatujawahi kushuhudia upinzani kama huu, mataifa mbali mbali kutulaumu na kutuzonga namna hii?haya yote ni sababu ya mtu mmoja tu
 
Hatujawahi kushuhudia upinzani kama huu, mataifa mbali mbali kutulaumu na kutuzonga namna hii?haya yote ni sababu ya mtu mmoja tu
Siyo kweli, taja kiongozi wa nchi aliyelaani kukamatwa/kufukuzwa
Your browser is not able to display this video.

kwa wahuni wa Kenya, hata kwao Kenya ni kivuruge
 
Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu

Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Wewe unalishwa ni Samia? Mbona unakuja huku na kumsapoti?
 

Hii ndio imemfanya imkere na kutoa kauli hizo za kishambenga
 
ccM wamewekeza kwenye mbumbumbu wa bongo movie na waigizaji wa kicjaga wale eti wapambane kwa maneno na wakenya, wakenya hawataacha haya mambo yapite
 
Lisu apambane na hali yake.Watanzania riziki zao hazimtegemei Lisu

Wahangaike naye kwa lipi hawalishi,hawavishi wala kuwapa riziki
Kuna mwenzako alikua anaomba ushauri CONDOM ILIPASUKA AFANYE NINI?

ANGALIA NA WEWE YASIKUKUTE...
 
Hivi kuna haja gani ya kulazimisha kuwaongoza watu ambao hawakutaki, wanaokuchukia, wanaoona uwepo wako hapo ni kijitabu tu ndo kimekuweka hapo.
 
Umesema kwa lugha , mantiki na tafsida kama ambavyo ningesema. Kuna mada nilitoa humu kuhusu mfumo wetu wa malezi ulivyotufubaza kuanzia ngazi ya familia. Hayo tunayoyaona, ukimya wetu wa kijinga, fikilia mwenzetu anachukuliwa na kupotezwa, menzetu aliyekuwa akitetea maslahi yetu , sisi tunabaki kimya as aif nothing happen. Fikilia fikilia fikilia huku aliyemchukua akitamba na kukuhasa kwamba next ni wee ukifumbua mdomoa, huku tuko kimya, Mfumo umetufanya tumekuwa mazezeta
 
Hv Saudia na Tz wanafanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…