Ndo agenda mmekuja nayo ili kumfanya atawale milele?Demokrasia ni rahisi sana kupandikiza vibaraka, Tanzania inatakiwa iwe na mfumo wake na maono au sera za long term ambaye yyote atakae ingia aendeleze. Na cashflow ya mapato iwe wazi. Yaani hata Samia akitoka awekwe Lisu sidhani kama kuna jipya.
Rwanda je?
Watu walitaka asifanye maamuz yenye kuwagusa raia moja kwa moja mf kuzuia misaada ya chakula na kuharakisha kurudishwa kwa mateka , haya aliyaanza , ila Hamas ndo kama ccmu hawasikiliz na kuruhuu wananch wao kutoa maoniAlijirekebisha kivipi?,waliokuwa wanampinga aachwe vita Gaza Ili mateka waachiliwe..
kwahio wanamsaidiaje sasa jamaa maaana ata akihukumiwa kuwekwa ndan amna cha kufanya
Hapana wananchi tunduogopa serikali hii. Hii siyo serikali ya mchezo mchezo. Ni zaidi ya mwendelezo wa kike kilichoanzishwa na Magufuli.Watanzania bado hatufahamu faida ya watu kama TAL …ndio maana support ya raia ni ipo chini sana. Kiongozi kama Lissu tunamuacha. Ref Kenya wapo mbele na muda.
Kama njaa kaya anavyotaka kumrithisha rizmoko!?Kwa iyo wewe unataka kusiwe na demokrasia ili samia atawale mpaka afe amrthishe Abdul?
Teh! Haitakaa iwezekaneKama njaa kaya anavyotaka kumrithisha rizmoko!?
Atoke kwanza tuoneDemokrasia ni rahisi sana kupandikiza vibaraka, Tanzania inatakiwa iwe na mfumo wake na maono au sera za long term ambaye yyote atakae ingia aendeleze. Na cashflow ya mapato iwe wazi. Yaani hata Samia akitoka awekwe Lisu sidhani kama kuna jipya.
What everNa Samia sio Museven mkuu
nitataratibu tu unywaji huku bill zikilipwa na yeye kupitia aliyempa jukumu then life goes onWalevi wa mama ipoje hiyo timu
Kodi zetu izo mkuunitataratibu tu unywaji huku bill zikilipwa na yeye kupitia aliyempa jukumu then life goes on
Kodi zetu izo mku
mkuu tutafanyaje sasa na mjini kugumu, wacha tuzile tu ila kura kwa Chadema ,hakuna namnaKodi zetu izo mkuu
Kushiba kwanza mengine baadaemkuu tutafanyaje sasa na mjini kugumu, wacha tuzile tu ila kura kwa Chadema ,hakuna namna
Uraisi siyo kuangua nazi . Wala kula kungu mangaKwa spana anazopigwa ndani na nje, juu na chini, kulia na kushoto,, kaskazjni na kusini, Mashariki na magharibi. Bi mkubwa anguko lake litakuwa baya sana.