MkubwaHuyu dada dish limeyumba ameachwa na bwana ake mwingine. Ana watoto 3 kila mmoja na baba yake na wamemwachia yeye kila kitu kuhusu watoto. Watu tumejaribu kumbeba beba habebeki. Sasa amechanganyikiwa.
Huyu tatizo alilianzisha mwenyewe. Kuna mambo nlishamwambia yeye kwa upuuzi wake akawa anawapigia simu mademu wangu wa zamani. Wengine wakamjibu hovyo akaleta mzozo nikaamua niachane naye baada ya demu mmoja humu kuandika suala langu na lake na mtoto. Ikawa issue. Tatizo la mademu wa JF wanaleta kila habari humu then wanaanza pigana vijembe humu. Mimi huwa nawapiga chini wote tu.Mkubwa
Kiufupi unamchanganya dada wa watu.
Hebu kayajenge inbobo tuunde kamati ghafla bin vuu🤣
Naam naunga mkono hoja apelekwe tiba ya saikolojia kwanza.Huyu tatizo alilianzisha mwenyewe. Kuna mambo nlishamwambia yeye kwa upuuzi wake akawa anawapigia simu mademu wangu wa zamani. Wengine wakamjibu hovyo akaleta mzozo nikaamua niachane naye baada ya demu mmoja humu kuandika suala langu na lake na mtoto. Ikawa issue. Tatizo la mademu wa JF wanaleta kila habari humu then wanaanza pigana vijembe humu. Mimi huwa nawapiga chini wote tu.
Ntoe contacts zake basi coz namtakaHuyu tatizo alilianzisha mwenyewe. Kuna mambo nlishamwambia yeye kwa upuuzi wake akawa anawapigia simu mademu wangu wa zamani. Wengine wakamjibu hovyo akaleta mzozo nikaamua niachane naye baada ya demu mmoja humu kuandika suala langu na lake na mtoto. Ikawa issue. Tatizo la mademu wa JF wanaleta kila habari humu then wanaanza pigana vijembe humu. Mimi huwa nawapiga chini wote tu.
Mungu amekupa msitiri pambe achana na wanoko wa hapa ndani wengine wanakosa kula wanaleta masikitiko kweny mapenzi ya watu.Mwambieni mwambieni , Mali yake ishaliwa oh apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa .
Ntaomba umkumbushe nipo apa namtakaAkikuacha yeye atakuja mwingine mbona pambe tu.
Subili kwanza kila mtu na wakati wake.Ntaomba umkumbushe nipo apa namtaka
Unique mambo
So hana tofauti na ex wa sugu??[emoji3][emoji3]Huyu dada dish limeyumba ameachwa na bwana ake mwingine. Ana watoto 3 kila mmoja na baba yake na wamemwachia yeye kila kitu kuhusu watoto. Watu tumejaribu kumbeba beba habebeki. Sasa amechanganyikiwa.
Hatar sanaKumekuchaaaaaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
So hana tofauti na ex wa sugu??[emoji3][emoji3]
Hahaha
Sasa dadaninao mie sio single mother
Una uhakikaninao mie sio single mother