Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
MkubwaHuyu dada dish limeyumba ameachwa na bwana ake mwingine. Ana watoto 3 kila mmoja na baba yake na wamemwachia yeye kila kitu kuhusu watoto. Watu tumejaribu kumbeba beba habebeki. Sasa amechanganyikiwa.
Kiufupi unamchanganya dada wa watu.
Hebu kayajenge inbobo tuunde kamati ghafla bin vuuš¤£