Mwami Theresa Ntare VI wa Heru - Chifu wa kwanza mwanamke

Rubaman,
Ikiwa huijui historia ya akina Sykes katika juhudi za ukombozi wa Waafrika wa Tanganyika hutoweza kuchangia chochote katika mjadala huu.
 
Rubaman,
Ikiwa huijui historia ya akina Sykes katika juhudi za ukombozi wa Waafrika wa Tanganyika hutoweza kuchangia chochote katika mjadala huu.
Nadhani sio sahihi. Wengi hapa hatujui historia yote ya kina Nyerere zaidi ya tulichosoma Primary katika Siasa na historia. Hatujui challenges zote walizopitia, hata hivyo hilo halituzuiwii kuchangia huu mjadala.
 
Rubaman,
Nadhani hii post yangu imekufungulia mlango wa kuijua historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
We had alot of appetite the reason why parties were formed.
Nyerere was already groomed by the system thus he was all over the independence tire.

The phenomena that happened in Tanzania happened to other African countries as well. For ex

The main issue I see here is that there was a deliberate efforts to equate Tanganyika independence to a military revolution struggles of some sort. In these types of struggles having a charismatic leader matters. However, when we talk about the independence of Tanganyika, the struggle of independence had a different dimension in the sense that it was a democratic process in a very diverse country rooted in tribal traditions. For example, how could Nyerere convince tribesmen from difference regions and backgrounds vote for him or his party? Currently, we can assume that he was a charismatic leader. But, in 50s that wasn't the case at all. Think about this. Today, 50years after independence, majority of members of parliament are voted along regional and tribal lines.
 

Thanks for sharing this information with me. Oscar Kambona motivated me to look at our history from a very different perspective. After Kambona returned home he mentioned that when the colonial officers asked Nyerere to quit his political activities or loose his job, initially Nyerere chose to keep job. He changed his mind only when others in the movement decided to support him. This is quite the opposite to what we had been taught in school.
 
Mzuvendi,
Nitashukuru kama utatupatia majina ya hao "others in the movement."

Lakini ninachojua mimi kitu kilichompa nguvu Mwalimu Nyerere kuamua kujiuzulu kazi ni matokeo yaliyofuatia safari ya UNO 1955.

Naingia Maktaba In Shaa Allah nitakuwekea historia yote ya safari ya UNO.
 
Tunaisubiria...
 
I like the way you put things together. Nadhani kuna mambo mengi ambayo hatuyajui na labda hatutayajua sababu kila kitu kipo kipolitics badala ya kuwa informative.Mfano mkoloni wa Kiingereza alipochukuwa Tanganyika baada ya WWI hatukufundishwa resistance(vita) ya mababu zetu vs Mwingereza kama vile walivyofanya kwa Mjerumani, linguine hatukufundishwa/kuelezwa (shuleni) kuwako na vyama vyingine hasa Tanganyika vilivyokuwa vinaendesha harakati za kugombea uhuru bar TAA/TANU. Nachokumbuka kusoma ni kuwepo kwa vyama zaidi ya ASP Zanzibar ambavyo navyo viliendesha harakati tofauti za kugombea uhuru. Kuna mtu anakumbuka(anajua) kama Tanganyika palikuwa na vyama vyingine zaidi ya TAA/TANU kabla/baada ya uhuru? I would like to think others had different views to TAA/TANU back then.

Mohamed Said
 
Rwanda, Urundi na Tanganyika si zilikua nchi moja yote yanawezekana tu hapo.
Isitoshe jamii zinazoishi mipakani zinaingiliana na nchi jirani iko hivyo Mtwara na Msumbiji, Ruvuma, Mbeya na Malawi, Songwe, Rukwa na Zambia, Mara, Arusha na Kenya, Kigoma, Ngara, Karagwe na Rwanda / Burundi/Congo lkn linapokuja kuhusu Kigoma mara nyingi linachukuliwa with special and unique interest.

Vv
 
Rubaman,
Sijui umekusudia nini kusema, ''kipolitics,'' na ''informative.''
Noamba ufafanuzi.

Unasema hii ndiyo sababu ''hatujui,'' na ''hatutayajua baadhi ya mambo.
Umetoa mfano kwa dhana ya ''resistance,'' ya babu zetu kuwa inafundishwa.

Binadamu hafundishwi kuwa huru hili ningependa ulizingatie hakuna shule
inafundisha mtu kutaka kuwa huru katika nchi yake mwenyewe.

Ninachokiona kwako ni kuwa na uniwie radhi, hujui historia ya uhuru wa
Tanganyika.

Imetokea kuwa huyu anayeandika hapa ameandika kitabu cha historia ya
TANU uhuru wa Tanganyika, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924
- 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in
Tanganyika,'' (London 1989) na ameshiriki katika kuandika historia ya Zanzibar
akiwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany mwandishi wa kitabu ''Kwaheri
Ukoloni Kwaheri Uhuru.''

Hakuna kisichojulikana nakushauri usome vitabu hivi.



Unaweza kusoma muhtasari wa historia hii hapo chini:
Mohamed Said: WALIFIKAJE TAREHE 7 MWEZI WA SABA 1954 NA KUASISI TANU?
 

Based on Kambona's words, he was one of the people who went to visit Nyerere in Butihama and convinced him that the party will be able to support him if he resigns from his teaching position. Additionally, Kambona mentioned that after the meeting, he (Kambona) went around the country to rise money that could cover some of Nyerere's expenses. I believe this story was also published in some media in 1990s and nobody took an effort refute it. So I believe that there's some truth to what Kambona said.
 

Our system of education wasn't designed to produced thinkers. And what's worse is our independence didn't entail individual liberty which guarantee your right to question authority and be critical.
 
Mzuvendi,
Nakushauri usome kitabu cha Abdul Sykes ni muhimu sana ili ujue
hali ya siasa ilikuwaje mwaka wa 1955 pale New Street TANU Office.

Bahati mbaya sijasoma makala ya Kambona kuwa alitembea majimboni
kutafuta fedha kwa ajili ya TANU.

Ninachofahamu mimi ni mara moja tu mwaka wa 1953 ambapo TAA ilifanya
safari nchi nzima kuchangisha fedha kwa wananchi na waliokuwa katika
msafara ule walikuwa Saadan Abdu Kandoro, Japhet Kiliro na Abbas
Sykes
.

Ninachokijua mimi ni kuwa TANU ilikuwa na wafadhili wakuu wanne John
Rupia, Dossa Aziz
na Abdul na Ally Sykes na mshahara wa Baba wa
Taifa
ulilipwa kutoka michango ya wafadhili hawa.

 

Where can I buy the book? I don't live in Tanzania. Now with regard to Kambona's narrative, if my memory saves me well, Kambona said that he (Kambona) or people in the movement visited various places and collected approximately 10,000 shillings. After the tour, they went back to Nyerere and told him "Here is the money, please quit your job". If I am not mistaken again, for this effort Kambona visited Kilimanjaro areas.

May be Kambona was laying.
 
Mzuvendi,
Please try Amazon.
 
Huyu mama naye noma, mabwana wangapi kazungushia kibindoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…