Fofofoo
Senior Member
- Mar 11, 2017
- 156
- 113
Kwanini hataki kufahamika kwa mchango wake?Chachu,
Hayo makala sikuandika mimi mwandishi hataki jina lake litokee lakini siku hiyo ya mazungumzo tulikuwa pamoja ilikuwa tarehe 6 November 1992.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hataki kufahamika kwa mchango wake?Chachu,
Hayo makala sikuandika mimi mwandishi hataki jina lake litokee lakini siku hiyo ya mazungumzo tulikuwa pamoja ilikuwa tarehe 6 November 1992.
Umenena haswaa?Ahsante kwa historia nzuri. Kitu kinachonisikitisha na kwa muda mrefu tangu nikiwa primary and secondary schools ni kuwa watu wengi walishiriki bega kwa bega na Mwalimu Nyerere ktk harakati za kugombea uhuru hawapewi credits wanazostahili ni Nyerere tu, maybe a little credits wanapewa kina Kawawa, Bibi Titi. Naomba nisieleweke vibaya nampenda Nyerere lakini hakuna kazi kubwa kama ya uhuru inaweza kufanywa na mtu mmoja pekee hata. Kila siku unasikia Nyerere ndio baba wa Taifa. Ilitakiwa pawe na mababa na mamama wa Taifa, founding parents. Primary nakumbuka nilimsoma mtu anaitwa Said Skyes(miongoni mwa wengi ) alikuwa mmoja wa waanzilishi wa TAA/TANU hili jina limenikaa kichwani. Hatujasikia au hutasikia anapewa credit zake pamoja na wengine kama kina Chief Fundikira, Kasela Bantu, Mapalala, Kambona, huyu mama, etc. Hakuna monuments na landmarks zinazopewa majina ya hawa mashujaa wetu, everything ni Nyerere, Nyerere, Mwinyi, kikwete, Mkapa, Kawawa, next Magufuli na utashangaa Makonda naye anaakreditiwa na a landmark keshokutwa. Nachosema nobody can do everything but himself. Nina uhakika sababu moja iliyosaabisha story ya huyu mama na wengine wengi kutofundishwa mashuleni, kuchapishwa vitabuni, majaridani na magazetini ni chuki na fitna za kibinadamu, kumbukeni hakuna binadamu asiye na huu udhaifu (fitna na chuki ). Historia ya nchi haijali itikadi ya chama, haijali imani ya dini, haijali rangi ya ngozi ya mtu au kabila la mtu. Tanzania inatakiwa kuwa enzi mashujaa wetu wote kwa contributions zao walizotoa kwkwa hii nchi. It is not about Nyerere and ccm people only.
Fofofoo,Kwanini hataki kufahamika kwa mchango wake?
Very well said. Like I said on my post above the struggle couldn't be success by one person. We all know and hear is Nyerere, Nyerere, Nyerere. This isn't fair for the rest of our freedom fighters. Even this story shows that most of freedom fighters came from interior of the country. What about the contributions of people from Pwani, Kusini, north-east(Arusha,Kilimanjaro,Tanga), I'm sure there are some contributions from them. Again, it is not about Nyerere, Nyerere and fewer.
I have the same sentiments here. If I am not mistaken, Nyerere returned back from his studies in 1952 and he was just 30 years old. If you accept the current narrative, then you would have to agree that we as a country didn't have any appetite for our own independent until the arrival of 30 or 32 years old politician
Thamani ya hako kaneno kamoja unaielewa??Hivi inakuaje wadau wanacopy li story loote li refu halafu anajibu ka neno ka moja tu " shukran"???? Very annoying.
F £€#@*** off.
Mzuvendi,I have the same sentiments here. If I am not mistaken, Nyerere returned back from his studies in 1952 and he was just 30 years old. If you accept the current narrative, then you would have to agree that we as a country didn't have any appetite for our own independent until the arrival of 30 or 32 years old politician.
Mzuvendi,
Nakuwekea hapo chini post ambayo niliiweka hapa siku ziizopita.
Nadhani kuna ndani yake kitu cha kujifunza:
Umuhimu wa Abdul Sykes ulianza Burma akiwa katika 6th Battalion ya KAR
wakati wa Vita Kuu ya Pili (1938 - 1945).
Hapo ndipo alipowaeleza askari wenzake umuhimu wa kuunda chama cha siasa
kuwaondoa Waingereza Tanganyika.
Wakati huo Abdul alikuwa na umri wa kiasi cha miaka 23 hivi.
Angalia hiyo picha yake hapo chini akiwa Burma:
![]()
Ukipitia Tanganyika Intelligence Gazette kuanzia 1950 hizi ni taarifa
za kikachero za Waingereza zikiandikwa na Special Branch utaona
habari za Abdul akiwa Dar es Salaam na mikoani alikokuwa akipita
kuongea na viongozi wa TAA kuhusu hali ya baadae ya Tanganyika.
Moja ya taarifa hizi ambazo mimi ninayo ni ni safari ya Abdul Sykes
ya Kanda ya Ziwa aliyofanya mwaka wa 1952 akiwa Katibu na Kaimu
Rais wa TAA kukutana na Paul Bomani na kisha kuelekea Uganda.
Lakini kabla ya hapa mwaka wa 1950 Abdul Sykes alifanya mkutano
na Jomo Kenyatta na kundi lake la kina Paul Ngei, Kungu Karumba,
Bildad Kaggia na wengine Nairobi agenda kuu ikiwa kuunganisha nguvu
za Waafrika wa Tanganyika na Kenya kupambana na Waingereza.
Huu ulikuwa wakati wa Mau Mau.
Nimeeleza habari hizi kwa kirefu kwenye kitabu chake.
Mimi sikulaumu kuwa wewe hujui historia hii.
Utaijuaje ikiwa haikupatapo kuandikwa hadi nilipoiandika na kitabu kuchapwa
Uingereza mwaka wa 1998?
Tatizo lako ndugu yangu Nguruvi3 ni kuwa unataka kuleta ubishi katika jambo
ambalo wewe huna ujuzi nalo.
Katiba iliyoandikwa na wazee wangu mwaka wa 1950 ipo.
Abdul Sykes kaieleza katika taarifa yake kwa wanachama wa TAA (Angalia:
Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January,
1951 Sykes' Papers).
Cranford Pratt katika kitabu chake ''Critical Phase in Tanzania,'' kaieleza na
kaisifia (Angalia: Cranford Pratt, The Critical Phase in Tanzania 1945-1968,
Cambridge University Press, London, 1976, uk. 29-31.)
''Document'' hii hutoweza kuiona popote pale kwa sababu hata Tanzania National
Archives (TNA) imenyofolewa jalada liko tupu.
Hata kwenye maktaba yake ya ''microfilm,'' pia imeondoshwa.
Halikadhalika katika Maktaba ya CCM Dodoma jalada pia liko tupu.
Nimepata kuandika kuhusu, ''Lost Documents,'' naitafuta hii paper nikiipata nitaileta
barzani In Shaa Allah.
Leo sishangai kwako wewe kunitaka mimi nikupe ushahidi wa katiba iliyoandikwa
na wazee wangu mwaka wa 1950.
Wakati tunahariri mswada wa kitabu kulikuwa na ubishani mkubwa kati yangu na
wachapaji kwa kuwa neno nililoandika ni kuwa nyaraka hii ya katiba ''imeibiwa.''
Mhariri hakupenda neno hili na akasema niseme, ''imepotea,'' au ''haionekani.''
Isiwe ''imeibiwa.''
Nguruvi3,
Nimekupa ushahidi wa katiba iliyoandikwa na wazee wangu waliokuwa katika
TAA Political Subcommittee.
Document hii ilijadiliwa katika mkutano mkuu wa TAA 1954 mkutano uliounda
TANU na mwaka wa 1955 Nyerere alisoma yaliyokuwa katika ''document,'' hii
UNO mbele ya Kamati ya Udhamini.
Ikiwa hujaridhika na haya niliyokueleza mimi nipo hapa In Shaa Allah nasubiri.
Bahati mbaya unachoshwa na kusoma vitabu.
We had alot of appetite the reason why parties were formed.I have the same sentiments here. If I am not mistaken, Nyerere returned back from his studies in 1952 and he was just 30 years old. If you accept the current narrative, then you would have to agree that we as a country didn't have any appetite for our own independent until the arrival of 30 or 32 years old politician.
Fofofoo,We had alot of appetite the reason why parties were formed.
Nyerere was already groomed by the system thus he was all over the independence tire.
Ahsante mkuu. Lakini nadhani (kama kumbukumbu yangu ipo sahihi) palikuwa na Sykes wawili na wote walihusika katika harakati hii. Sijui kama walikuwa ndugu. Naweza kuwa wrong, lakini pia nimeona kuna mdau anasema palikuwa na mtu anaitwa Abdul Sykes. I blame mfumo wa elimu yetu.Rekebisha hapo sio Said Sykes uliomsoma ni Ally Sykes hata mimi niliwasoma pia na akina Dossa Aziz na John Rupia. Tupo pamoja.
Fofofoo,
Bora uandike Kiswahili ili wengi waweze kuchangia.
Kama Nyerere alikuwa katayarishwa na hicho unachokiita ''system,''
mbona hakuna ushahidi ila manen tu kama haya yako?
Mimi nimekuwekea ushahidikuwa wazee wangu waliamua kupambana
na ukoloni toka miaka ya 1920 na kuna ushahidi wa kutosha katika hili.
Mbona hakuna ushahidi wa hiyo, ''system,'' kuja na chama cha siasa
kwa ajili ya Nyerere, kinyume chake kuna ushahudi wa kuonyesha kuwa
juhudi ilikuwa kupiga vita juhudi za kuwa na chama cha siasa?
Lakini kubwa kwa Nyerere kukubalika katika siasa alipofika Dar es Salaam
kulitegemea sana kuungwa mkono na viongozi ambao tayari walikuwa na
sauti ndani ya TAA.
Sijui kama unajua kuwa Nyerere aliingizwa ndani ya ''inner circle,'' ya TAA
na Hamza Mwapachu na Abdul Sykes na uamuzi ulifanyika 1952 nyumbani
kwa Mwapachu Nansio, Ukerewe.
Duh!Zito Kabwe siyo Mwami wa Heru kwani kwao Mwandiga hapastahili kuwa na Mwami? Tafadhali sana, usiwatukane Wanyaheru(Buha) kwa kuwavika sifa bandia wanasiasa. Wanyaheru ndiyo Waha halisi na HERU JUU ndiyo BUHA, wengine wote ni RUNDI