Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 423
Sioni kicwa wala miguu kwenye huo udaku uliotuletea.
Bado kutimuliwa tu na huko MAGAMBANI...wakaanzishe chama chao kipya.....
Mtasubiri sanaaaaaaa
Shonza aliahidiwa ubunge wa viti maalumu au ukuu wa wilaya ngoja tusubiri
Hivi ukiwa na mpiga debe kama Shonza , Mwampamba na wewe utajiita unampiganaji kweli,wale wote ni njaa njaa tu,waliondolewa cdm kwasababu ya njaa njaa tu wakajikuta wanatumika na Mwigulu,chezea mwigulu wewe!!!!!!!!!!! Niliwaona huku arusha kata ya Elerai wakaitwa jukwaani na mwigulu wakatambulishwa tu wakaambiwa kakaeni muda autoshi ninyi kuzungumza,siku hiyo mwampamba alivaa pama lake la kinyinyiemu nyinyiemu wamepaukaaaaaaa
Mtasubiri sanaaaaaaa
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................
Hivi ukiwa na mpiga debe kama Shonza , Mwampamba na wewe utajiita unampiganaji kweli,wale wote ni njaa njaa tu,waliondolewa cdm kwasababu ya njaa njaa tu wakajikuta wanatumika na Mwigulu,chezea mwigulu wewe!!!!!!!!!!! Niliwaona huku arusha kata ya Elerai wakaitwa jukwaani na mwigulu wakatambulishwa tu wakaambiwa kakaeni muda autoshi ninyi kuzungumza,siku hiyo mwampamba alivaa pama lake la kinyinyiemu nyinyiemu wamepaukaaaaaaa
Huna lolote wewe. Safari yako ni fupi sana, wewe na mumeo mweye midevu mwisho wenu mwakani.Mtasubiri sanaaaaaaa
aiseeeeee mamayangu SWEETLADY sio kuuza utu tu mpaka chini ya kituvu na 0715 anauzaAibuuuuuu mtoto wa kike kuuza utu wako ajili ya vijisenti uchwara!!! Utajibeba mwaka huu manake wenye chama chao washaanza kuwachoka halo halo
Gamba limekurupuka huko mbiooo eti udaku, atuambie akina tambwe hiza wako wapi? Asisahau pia kutuambia wapi walipopita juliana shoza na shogaake mwampamba wakakubalika zaidi ya kuambulia aibu
Mwigulu atakupiga sana kabang 0713 hata udiwani hutapataMtasubiri sanaaaaaaa
Nyomi ya Songea hii, mwaka huu magamba presha inapanda presha inashuka bila kusahau kitu kinagonga kyupi na kurudi
kana akili ndogo kweli hako kadada
Unaelewa jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani?
Ukuu wa wilaya ataupata lini maaa zote zina watu na 2015 hawapo tena hawa!!!!!!!!!!!!Labda afe mbunge wa viti maalumu aonewe huruma. ila ukiwa na mbunge kama Juliana jamani utafika kweli safari yako!!!!!!!!!!!