Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.Nabii Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa na Spika wa Bunge Dr.Tulia Ackson.
===
Ilishaletwa humu umechelewaMtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
(Source;Clouds Media)
Vp kuhusu huduma yake ya maji,,itakuwepo????
Maji ndo yamemtajirisha kwann yasiwepoVp kuhusu huduma yake ya maji,,itakuwepo????
Swimming pool zote zitakuwa na upakoVp kuhusu huduma yake ya maji,,itakuwepo????
Tushahama kwenye maji bwashee....tunauza udongo sasa.Maji ndo yamemtajirisha kwann yasiwepo
🤷♂️ 🤣🤣Pombe zitauzwa humo au
Duh hoteli Tena kwa hyo vilevi na kila Aina ya ufuska utafanyika paleMtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.
Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.
(Source;Clouds Media)
KabisaInaprove kwamba dini ni biashara.
[emoji23][emoji23]Kuna swimming pool la maji upako