Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

Screenshot_20221230-155431_Instagram.jpg

Source: Clouds Media
 
Nabii Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa na Spika wa Bunge Dr.Tulia Ackson.

===
Nakuongezea na mengine wakati Waumini wake Umasikini ukizidi Kuwaandama Kununua Nyumba ya Rubani wa zamani wa Hayati Mwalimu Nyerere Kawe Beach Avocado jirani na Hotel ya Triple Seven kwa Tsh Bilioni 2, Kanunua Uwanja mkubwa Mbezi Beach Tangi Bovu ( New Corner Bar ) njia ya zamani ya kwenda Goba ambako huenda mwakani ( 2023 ) Mwezi April Kanisa lake likahamia huko kwa Tsh Bilioni 3, amejenga Kiwanda cha Chumvi huko Pwani Rufiji na pia ana Shamba Kubwa la Miwa huko Bagamoyo achilia mbali lile Kubwa la Korosho Mkoani Mtwara.
 
Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson.

Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii aliyokulia.

(Source;Clouds Media)
Ilishaletwa humu umechelewa
 
Duh hoteli Tena kwa hyo vilevi na kila Aina ya ufuska utafanyika pale

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom