Jambo hilo lipo kiroho ," kiroho " ni chaka la kupigwa za uso .Walalahoi wengi hasa wanawake wanatapeliwa sana na Mwamposa. 99% ya wafuasi wake ni wanwake. Sijui hawa viumbe wanakwama wapi hadi wakubali kutapeliwa kirahisi hivyo.
Ili afanyie niniAnachosema Mwamposa ni kua sio tu anahitaji chote ulichoenda nacho kanisani, bali na hata kile ulichokiacha benki na nyumbani pia anakihitaji.
Hili nalo mkalitazameIli ajengee hoteli za kitalii
Anajimaliza kwa kabinti ka miaka 21Yeye mwamposa anajimaliza kwa nani?
Hadi watu wa mudi wamenaswa na hili tapeli !Ukristo umeshavurugwa.
Kwani matumizi ya hela ni kuzifanyia nini Mkuu?Ili afanyie nini
Kabisa. Mafundisho ya neno la Mungu yanapotoshwa sana.Hkika. Yaani mtu unatoa mali zako zote unabaki uchi kiuchumi. Ni sawa na chizi anayetupa fedha gizani halafu anachukua tochi anaanza kuzitafuta.
Ila ndugu zangu wakristo mjitafakari
Hadi watu wa mudi wamenaswa na hili tapeli !
kwa kujenga mahoteliYeye mwamposa anajimaliza kwa nani?