BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Mimi wala simlaum yeye maana kitabu anachotumia kinawatambua wafuasi wake ni kama kondoo.Ila maisha haya Mwaposa kacopy kwa Mzee wa Upako tena Mwaposa watu hata walikua hawamzingatii akaona ngoja aje na usanii akaanza kujiita majina ya kisanii elewa neno kisanii na promosheni km zote, enzi hizo Kakobe na Mzee Fernandez ndio talk of the town enzi hio Mwaposa hafahamiki kabisa kuna dogo ananiambia ameanza na Mwaposa toka akiwa hapa Sayansi kule akaja mpaka Mwenge akashuka mpaka Sinza kule huku ndio alikua anashusha nondo Bar hapa naona kuna walevi wakaja na wazo ndio akaelekea Kawe kote huko dogo alikua anamfuata
Maana sio mwamposa tu kuna yule makenzo sijui wa kenya si kawafungisha watu mpaka kufa.
Na bado kondoo wengine walikuwa wanaendelea kufunga ili wafe.
Na Yesu angalipo anawaangalia tu wanavokufa.