Mimi wala simlaum yeye maana kitabu anachotumia kinawatambua wafuasi wake ni kama kondoo.Ila maisha haya Mwaposa kacopy kwa Mzee wa Upako tena Mwaposa watu hata walikua hawamzingatii akaona ngoja aje na usanii akaanza kujiita majina ya kisanii elewa neno kisanii na promosheni km zote, enzi hizo Kakobe na Mzee Fernandez ndio talk of the town enzi hio Mwaposa hafahamiki kabisa kuna dogo ananiambia ameanza na Mwaposa toka akiwa hapa Sayansi kule akaja mpaka Mwenge akashuka mpaka Sinza kule huku ndio alikua anashusha nondo Bar hapa naona kuna walevi wakaja na wazo ndio akaelekea Kawe kote huko dogo alikua anamfuata
Sasa mkuu ndo umeandika kitu gani?Kondoo mbele ya Mungu hakuna shida ..sisi mvele ya Mungu hata tukiitwa kinyesi ni sahihi au wewe ni mtukufu mbele ya Allah?
Mbona mashekh wenu ni chawa wa MAMAMaadamu umekiri nawe ni KONDOO
Unafikiri niseme nini tena?
Sasa kwanini tuwe na wasiwasi na Shetani wakati Yesu alikufa msalabani ili kutuokoa na dhambi zetu?Mungu anaweza kua yupo ila kama ni huyo kwenye hivyo vitabu mhm🤔
Shetani nae ndio yale yale Muhammed kumuita mudi
Kondoo naona umetoka nje kwenye Zizi,Mbona mashekh wenu ni chawa wa MAMA
Hivi vitabu kuna sehemu nazani wamevigawa.Mungu anaweza kua yupo ila kama ni huyo kwenye hivyo vitabu mhm🤔
Shetani nae ndio yale yale Muhammed kumuita mudi
Quraan ni ile ile Dunia nzima,haina cha toleo jipya wala la zamani.Hivi vitabu kuna sehemu nazani wamevigawa.
Yaani kuna vitabu kwa ajili ya waafrika halafu kuna vitabu kwa ajili ya wazungu waarabu na wahindi.
Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.” Yesu akawajibu kwa mfano: “Hivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate. Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha. Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.’ Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu. “Au mwaonaje? Tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, ataifagia nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate. Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’ Kadhalika nawaambieni, ndivyo watakavyofurahi malaika wa Mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu.”Mimi wala simlaum yeye maana kitabu anachotumia kinawatambua wafuasi wake ni kama kondoo.
Maana sio mwamposa tu kuna yule makenzo sijui wa kenya si kawafungisha watu mpaka kufa.
Na bado kondoo wengine walikuwa wanaendelea kufunga ili wafe.
Na Yesu angalipo anawaangalia tu wanavokufa.
Sasa chawa ni sawa kondoo?Mbona mashekh wenu ni chawa wa MAMA
Dini gani?As kiongozi wa dini
Sawa... mbele ya Mungu kiumbe ni zaidi ya kondoo ....hakuna anaye weza kujitukuja mbele ya Mungu ...Sasa mkuu ndo umeandika kitu gani?
Mtukufu ndo mtu wa kiaje?
Allah si ndo Mungu au?
Mimi siamini kuanzia huyo Mungu shetani mapepo sijui majini cheketu mpaka huyo Yesu mwenyeweSasa kwanini tuwe na wasiwasi na Shetani wakati Yesu alikufa msalabani ili kutuokoa na dhambi zetu?
Pokea simu kwanza.Mimi siamini kuanzia huyo Mungu shetani mapepo sijui majini cheketu mpaka huyo Yesu mwenyewe
Anhaa kwahiyo kwa mujibu wa qur an Mungu ni mmoja si ndio?Quraan ni ile ile Dunia nzima,haina cha toleo jipya wala la zamani.
Hahahhhhh BWANA nisaidie...Toto Linaonekana Tamuu Hili....
Ndiyo chawa ni sawa na kondoo ...ila chawa wa nani ndiyo hoja ...kama ni chawa wa Allah hakuna shida ila kama ni chawa wa Samia au mwamposa ni shida.Sasa chawa ni sawa kondoo?
Ndiyo chawa ni sawa na kondoo ...ila chawa wa nani ndiyo hoja ...kama ni chawa wa Allah hakuna shida ila kama ni chawa wa Samia au mwamposa ni shida.Sasa chawa ni sawa kondoo?
😅 umesoma bibilia?Hivi vitabu kuna sehemu nazani wamevigawa.
Yaani kuna vitabu kwa ajili ya waafrika halafu kuna vitabu kwa ajili ya wazungu waarabu na wahindi.
Nipo k/koo kuna muuza sumu za panya ana kelele 🤣 ngoja nisogee kandoPokea simu kwanza.