Umeninibu kikubwa mkuu tofauti na siku zingine..Ndiyo chawa ni sawa na kondoo ...ila chawa wa nani ndiyo hoja ...kama ni chawa wa Allah hakuna shida ila kama ni chawa wa samurai au mwamposa ni shida.
Mkuu leo mbona unajibu kwa hekma na utulivu sana kama sio wewe vile.Sawa... mbele ya Mungu kiumbe ni zaidi ya kondoo ....hakuna anaye weza kujitukuja mbele ya Mungu ...
HAYO MAANDIKO YANASEMA KONDOO WA BWANA SIYO HAO KONDOO MUHUNI MWAMPOSA AU KONDOO WA CCM AU CHAWA WA SAMIA.... ZINGATIA NENO BWANA MUNGU.
Yohana 20:17Je kwa mujibu wa biblia Yesu ndo Mungu huyo huyo mmoja au Yesu ni mwana wa Mungu ?
Kwamba Yesu mwana wa Mungu kauliwa msalabani na viumbe wa babake ili wapate kusamehewa dhambi na baba yake heheheπ umesoma bibilia?
Umesoma Qurβan ?
Ukisoma vyote hivyo bila kulishwa matango pori ni hadithi za uongo tupu
Kwani alieuliwa pale msalabani si ndo huyo huyo Yesu/Jesus au ni mwingine?Yohana 20:17
Yesu akawaambia ''Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,likini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie,ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu,kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu''
Jesus says he has a God.
Yote anayoyafanya Mwaposa sio mapya yalishawahi kufanywa na wahuni wengi tu kama Kakobe, Getruda Rwakatare ( marehemu), ni suala la muda tu naye atapita japo wajinga wengi watakuwa wamepigwa.Habari,
Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ile video ya Mtume na Nabii Boniface Mwamposa akitoa ushuhuda na dokezo kuhusu kuingia chumba cha marubani na kumuuliza rubani kwanini ndege haitembei kwa speed.
Video ilienda viral kwa sababu y maelezo yake na mazingira yake ukiwa ndani ya ndege na jinsi ya kumfikia rubani wewe abiria kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani kwa hali ya kawaida.
Kabla hili halijakaa sawa naona limeibuka lingine huko mwanza nadhani la kuponya viwete. Ukiangalia yale magongo ambayo anadai walikuwa wanatumia viwete ni almost yote ni mapya, hayajawahi kutumika au kama yametumika basi ni mara moja tu, hii inaleta ukakasi kwenye kuamini maneno yake na ushuhudu wake.
Je ni end of an era au watu wake wa karibu wameshamchoka na wameanza kumuumbua? Maisha ya imani huwa na ups and down, nadhani kama kuna kitu anafanya makosa kwa sasa basi ni kuamini ataendelea kuwalisha ujinga waumini wake kwa muda wote.
As kiongozi wa dini anapaswa sana kuchunga ndimi yake, kauli zake na vitendo vyake anvyofanya katika jamii, Mimbari ni sehemu patakatifu, si sahihi kutoa maneno yanayoacha dalili za uongo hata mara moja.
Na kwa sisi waamini, As a bible says "Mtafute sana elimu, usimwache aende zake" basi yatubidi kutafuta ukweli kwa yale yatupasayo, kuendelea kulishwa uongo ni kukosa hekima na maarifa, Mwenyezi Mungu ametuumba kuwa na uwezo wa kufikiri, kuhoji na kufanya tafakari ya yale tuyaonayo, tuyasikiayo na tuambiayo.
Kama lengo la kufanya ibada ni kumfikia mwenyezi Mungu basi kumbuka nabii mwongo hawezi kukufikisha kwenye hilo lengo lako, Kamwe kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake.
Kwa sisi watafuta miujiza, tuaomini ulonzi na wafuta mafanikio, Je kwa Mtume Boniface Mwamposa, ni End of an era au aliteleza tu?
NB: Usihukumu, kwa maana usije kuhukumiwa, ila usiache kukemea uovu, kwakuwa muovu siku zote ni ibilisi.
Kwanza umeelewa jibu la swali uliloniuliza kabla?Kwani alieuliwa pale msalabani si ndo huyo huyo Yesu/Jesus au ni mwingine?
Mimi sio kondoo wa yeyote, ila naamini uwepo wa Mungu.Wewe nawe ni boya ...neno kondoo wa Bwana alina shida yoyote . Sisi mbele ya Bwana (Mungu ) ni zaidi ya kondoo ..ila tatizo ni kuwa KONDOO WA MWAMPOSA AU MTU YOYOTE ..KUNA TOFAUTI YA
1 KONDOO WA BWANA na
2) KONDOO WA MWAMPOSA
Waow kwamba moja ni bora kuliko nyingi!Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: βMtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.β Yesu akawajibu kwa mfano: βHivi, mmoja wenu akiwa na kondoo 100, akigundua kwamba mmoja wao amepotea, atafanya nini? Atawaacha wale tisini na tisa mbugani, na kwenda kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate. Akimpata, atambeba mabegani kwa furaha. Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake na kuwaambia, βFurahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.β Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu. βAu mwaonaje? Tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, ataifagia nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate. Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, βFurahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.β Kadhalika nawaambieni, ndivyo watakavyofurahi malaika wa Mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu.β
Kwani Yesu hakusema kuwa kila neno lake litatimia ...hayo unayo yaona ni utimilifu wa neno la Yesu kuwa ..kwa sababu mmekataa kweli basi mtaletewa na ibilisi isiyo kweli ili muifuate....hapo ndipo wakaja kina mudi boy , mwamposa , mungu zumaridi kakobe ..shekh bachu nkUmeninibu kikubwa mkuu tofauti na siku zingine..
Vipi yesu
Mkuu leo mbona unajibu kwa hekma na utulivu sana kama sio wewe vile.
Sasa mtu anakuwa mpaka mhuni wa imani na huku Yesu yupo kwanini anamwachia tu?
Wewe umefanya mangapi ambayo YESU kasema usifanye na kakuachia tu? ?.
Sasa mtu anakuwa mpaka mhuni wa imani na huku Yesu yupo kwanini anamwachia tu?
Si kwamba kaanza siku zote ndivyo alivyo. Kuuzia watu mchanga majiHabari,
Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ile video ya Mtume na Nabii Boniface Mwamposa akitoa ushuhuda na dokezo kuhusu kuingia chumba cha marubani na kumuuliza rubani kwanini ndege haitembei kwa speed.
Video ilienda viral kwa sababu y maelezo yake na mazingira yake ukiwa ndani ya ndege na jinsi ya kumfikia rubani wewe abiria kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani kwa hali ya kawaida.
Kabla hili halijakaa sawa naona limeibuka lingine huko mwanza nadhani la kuponya viwete. Ukiangalia yale magongo ambayo anadai walikuwa wanatumia viwete ni almost yote ni mapya, hayajawahi kutumika au kama yametumika basi ni mara moja tu, hii inaleta ukakasi kwenye kuamini maneno yake na ushuhudu wake.
Je ni end of an era au watu wake wa karibu wameshamchoka na wameanza kumuumbua? Maisha ya imani huwa na ups and down, nadhani kama kuna kitu anafanya makosa kwa sasa basi ni kuamini ataendelea kuwalisha ujinga waumini wake kwa muda wote.
As kiongozi wa dini anapaswa sana kuchunga ndimi yake, kauli zake na vitendo vyake anvyofanya katika jamii, Mimbari ni sehemu patakatifu, si sahihi kutoa maneno yanayoacha dalili za uongo hata mara moja.
Na kwa sisi waamini, As a bible says "Mtafute sana elimu, usimwache aende zake" basi yatubidi kutafuta ukweli kwa yale yatupasayo, kuendelea kulishwa uongo ni kukosa hekima na maarifa, Mwenyezi Mungu ametuumba kuwa na uwezo wa kufikiri, kuhoji na kufanya tafakari ya yale tuyaonayo, tuyasikiayo na tuambiayo.
Kama lengo la kufanya ibada ni kumfikia mwenyezi Mungu basi kumbuka nabii mwongo hawezi kukufikisha kwenye hilo lengo lako, Kamwe kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake.
Kwa sisi watafuta miujiza, tuaomini ulonzi na wafuta mafanikio, Je kwa Mtume Boniface Mwamposa, ni End of an era au aliteleza tu?
NB: Usihukumu, kwa maana usije kuhukumiwa, ila usiache kukemea uovu, kwakuwa muovu siku zote ni ibilisi.
Nimeelewa kuwa Yesu nae ana Mungu kwahiyo yeye si Mungu.Kwanza umeelewa jibu la swali uliloniuliza kabla?
Naona unapandisha swali juu ya swali.
Kwani kuamini uwepo wa Mungu ni issue..mbona hata Shetani ana amini hivyo... MUNGU ANATAKA UWE KONDOO WAKE... YANI UWE CHINI YA UTII WAKE.Mimi sio kondoo wa yeyote, ila naamini uwepo wa Mungu.
Kuna wamama Waislamu nilikuta wamekaa sehemu wanazungumza wanasema "Wengi wanaoenda kwa Mwaposa ni watu wetu yaan Waislamu wakristu ni wachache sana wengi waislamu ambao hawana muelekeo wa kiislamu"Me nafikiri hawa wanaodanganyika na manabii wa uongo wanadhihirisha tu ambacho kweli wanakitaka mioyoni mwao. Wanafuata "mkate" wale washibe.
Kama kungekuwa na cha ziada wanakitaka wasingeweza kukaa kurudi kila siku huko maana ukweli ni kuwa hawa manabii wa uongo cha ziada hawana.
Nimesema mimi sio kondoo wa yeyote yule.Kwani kuamini uwepo wa Mungu ni issue..mbona hata Shetani ana amini hivyo... MUNGU ANATAKA UWE KONDOO WAKE... YANI UWE CHINI YA UTII WAKE.
Wewe nae umekuja kivingine hakuna jambo lolote mimi nililofanya yesu kasema nisifanye kwa sababu mimi sijawahi zungumza na Yesu hata siku moja.Wewe umefanya mangapi ambayo YESU kasema usifanye na kakuachia tu? ?
Mnaitamani hukumu, hukumu inakuja tena imekaribia sana hatimaye.
Baadaye usije ukalia ukijipata kwa joto kali wakati wenzako wanafua kanzu zao wewe ulibaki kudhihaki na kunyooshea watu vidole!
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS! π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
"Kisha akaniambia, βYametimia! Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uhai.
Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na madini ya kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili.β
Ufunuo.21.6-8.BHN
Kumbuka hapo hapo inasemekana Yesu ni Mungu alieshuka duniani kwa mission ya kumkomboa mwanadamuKwamba Yesu mwana wa Mungu kauliwa msalabani na viumbe wa babake ili wapate kusamehewa dhambi na baba yake hehehe
π€£π€£π€£ kasheshe kuamini haya mambo inabidi uwe na majani ya weed kicwaniKwa waislam ni kuwa ukisali maka sala moja ni sawa na ukisali sala elfu moja huku kwetu Afrika.
Halafu unasema binadamu wote ni sawa! How?
π π Mungu gani una muaminiMimi sio kondoo wa yeyote, ila naamini uwepo wa Mungu.