Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

Hivi shuhuda Za Kupanga zipo.?

Hapo No Comments..!

Ngoja 'Walokole' Waje..!

Watakwambia Roho Mtakatifu aliingia Kwenye Kinywa cha Aliyezimia....!
Shuhuda za watu kusema sijui umeme kukatika yani neno "umeme kukatika " ni msamiati mpya kabisa niliousikia kwa mara ya kwanza kwa mwamposa ni mpango uliondaliwa kisayansi shuhuda gani alikuja kusema neno hilo bila kupangwa
 
Nenda kidimbwi ambako ndipo mungu wako alipo! Au bar yoyote na kwa mganga wako ambao ndio unaowaabudu !! Usituletee fitina kwa watumishi wa mungu ! Mchawi mkubwa wewe!! Umesimama kwa niaba ya shetani bila kujijua ndio maana unashughulishwa na mambo madogo madogo ukijua unaweza kuidhoofisha kazi ya mungu kupitia Mikono Yako michafu 'bila Shaka una dini Yako unayoiamini tatueni matatizo ya watu kuliko kukosoa watumishi wa mungu wanaojitahidi kwa kadiri ya muda walionao kuombea watu pepo mkubwa wewe ufe!!
 
Wewe una uwakika gani kama amempanga...?acha kumchafua mtumishi wa Mungu.
 
Hili bunge linadharauliwa sana

Ova
Bunge linajadili ng'ombe kuvalishwa vikuku ni maajabu

Kwani huwa hawaangalii mabunge duniani wanachojadili jamani

Ni kweli litadharaulika kwa baadhi ya michango isiyokuwa na tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…