Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

Jamiiforum ina wajinga wengi sana .mtu kaleta alichokiona kwa mtumishi huyo kuwa ni hadaa kwa kondoo wake

Badala kudeal na anae hadaa watu na kujipatia kipato sisi tunaenda kumshambulia mtoa mada.

Kisa tu imani yake imeguswa kwa utapeli

Kwahiyo mtu akifanya uovu wa imani yako utakaa kimya ili kumlindia heshima???
 
Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa.

Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa Hoi Mahututi, hawezi hata Kuongea, hajitambui na Macho yake alikuwa ameyafunga.

Cha Kushangaza huyo Muumini wako wa leo ambaye hukumpangia vyema Script yako ya Kutudanganya Watu ( kama Kawaida ) yako alisema ( alikuambia ) kuwa wakati wakiwa njiani kumpeleka Hospital huyo Mgonjwa wao aliyekuwa Mahututi na Hoi akawaambia wqmlete Kwako Kanisani Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers

Pole sana Mwamposa kwani nilikuona hata Wewe Director wa hii Movie na Muandaaji wa Script yako ya Uwongo na Kutudanganya tusiojitambua Ulishtuka kwa Kukosea Kwake huko na Ukakwazika ila ukatumia Akili Kubwa kwa Kuzuga na kuanza Kuimba Wimbo wako pendwa wa ....Namshukuru Mungu..... Namshukuru Bwana...ambao hata hivyo huwa unauharibu kwa Sauti yako mbaya ya Mkwaruzano.

Nilikuwa sijui kumbe Mgonjwa aliye Hoi, Mahututi, hajitambui na amefumba Macho yake anaweza Kuwaambia waliombeba kuwa wamlete Kanisani Kwako hapo Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers?

Haya Mfukunyuku Mbobezi MINOCYCLINE nimemaliza huku nikiendelea kuwapa Pole Waumini wako.

Kazi kweli kweli hakyanani....!!!!!!
Kuna upepo nilisikia unaitwa monsoon bado upo au una jina lingine siku hizi?
 
Akiwa tycoon si ndio vzr tunapunguza idadi ya masikini na tunaongeza mamilionea,acha roho ya kimasikini wewe.
Hata sina shida na utycoon wa mtu, tabu ni pale anapoupata kwa njia ovu ya kuwatapeli hawa maskini wajinga hawa.
 
Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa.

Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa Hoi Mahututi, hawezi hata Kuongea, hajitambui na Macho yake alikuwa ameyafunga.

Cha Kushangaza huyo Muumini wako wa leo ambaye hukumpangia vyema Script yako ya Kutudanganya Watu ( kama Kawaida ) yako alisema ( alikuambia ) kuwa wakati wakiwa njiani kumpeleka Hospital huyo Mgonjwa wao aliyekuwa Mahututi na Hoi akawaambia wqmlete Kwako Kanisani Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers

Pole sana Mwamposa kwani nilikuona hata Wewe Director wa hii Movie na Muandaaji wa Script yako ya Uwongo na Kutudanganya tusiojitambua Ulishtuka kwa Kukosea Kwake huko na Ukakwazika ila ukatumia Akili Kubwa kwa Kuzuga na kuanza Kuimba Wimbo wako pendwa wa ....Namshukuru Mungu..... Namshukuru Bwana...ambao hata hivyo huwa unauharibu kwa Sauti yako mbaya ya Mkwaruzano.

Nilikuwa sijui kumbe Mgonjwa aliye Hoi, Mahututi, hajitambui na amefumba Macho yake anaweza Kuwaambia waliombeba kuwa wamlete Kanisani Kwako hapo Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers?

Haya Mfukunyuku Mbobezi MINOCYCLINE nimemaliza huku nikiendelea kuwapa Pole Waumini wako.

Kazi kweli kweli hakyanani....!!!!!!
👀Ile nyingine umepigwa ban
 
Hata sina shida na utycoon wa mtu, tabu ni pale anapoupata kwa njia ovu ya kuwatapeli hawa maskini wajinga hawa.

Una ushahidi beyond doubt kuwa anawatapeli?au hisia zako za kimasikini,leta ushahidi wapi katapeli.

Kuna andiko linasema wana wa lawi watakula madhabahuni,ulitaka akale wapi mana kazi yake ndio hiyo na upepo umemkubali,acha wivu wa kike.
 
Mkuu
Hivi shuhuda Za Kupanga zipo.?

Hapo No Comments..!

Ngoja 'Walokole' Waje..!

Watakwambia Roho Mtakatifu aliingia Kwenye Kinywa cha Aliyezimia....!
ujakutanna na walokole wenyewe kwanza makanisa mengi ya pentecostal huwa wanachukia sana hizi ibada sijui za maji na mafuta ya kukanyaga na huwa hawafanyi hao si walokole wapigaji tu ujaenda kwenye makanisa ya walokole mkuu hata mwamposa ashatumiwa mpaka barua Kutoka pentecostal aachane na anayoyafanya ILA hataki na huyo ni mlipa kodi anaingizia serikali pato HAWAWEZI kumzuia ILA pentecostal church wanachukizwa sana na mambo anayofanya
 
Una ushahidi beyond doubt kuwa anawatapeli?au hisia zako za kimasikini,leta ushahidi wapi katapeli.

Kuna andiko linasema wana wa lawi watakula madhabahuni,ulitaka akale wapi mana kazi yake ndio hiyo na upepo umemkubali,acha wivu wa kike.
Nyie ndo mmekuwa brainwashed kipimbi ndo maana anawaibia mchana kweupe.
 
Nenda kidimbwi ambako ndipo mungu wako alipo! Au bar yoyote na kwa mganga wako ambao ndio unaowaabudu !! Usituletee fitina kwa watumishi wa mungu ! Mchawi mkubwa wewe!! Umesimama kwa niaba ya shetani bila kujijua ndio maana unashughulishwa na mambo madogo madogo ukijua unaweza kuidhoofisha kazi ya mungu kupitia Mikono Yako michafu 'bila Shaka una dini Yako unayoiamini tatueni matatizo ya watu kuliko kukosoa watumishi wa mungu wanaojitahidi kwa kadiri ya muda walionao kuombea watu pepo mkubwa wewe ufe!!
Daah ni kama uninifungua macho. Kwamba mleta uzi ni gwajiboy? Kumbe?
Kwa hiyo MINOCYCLINE GENTAMYCINE na @mightier kumbe ni gwajiboy? Charismatic Fela😂😂😂😂
 
Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa.

Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa Hoi Mahututi, hawezi hata Kuongea, hajitambui na Macho yake alikuwa ameyafunga.

Cha Kushangaza huyo Muumini wako wa leo ambaye hukumpangia vyema Script yako ya Kutudanganya Watu ( kama Kawaida ) yako alisema ( alikuambia ) kuwa wakati wakiwa njiani kumpeleka Hospital huyo Mgonjwa wao aliyekuwa Mahututi na Hoi akawaambia wqmlete Kwako Kanisani Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers

Pole sana Mwamposa kwani nilikuona hata Wewe Director wa hii Movie na Muandaaji wa Script yako ya Uwongo na Kutudanganya tusiojitambua Ulishtuka kwa Kukosea Kwake huko na Ukakwazika ila ukatumia Akili Kubwa kwa Kuzuga na kuanza Kuimba Wimbo wako pendwa wa ....Namshukuru Mungu..... Namshukuru Bwana...ambao hata hivyo huwa unauharibu kwa Sauti yako mbaya ya Mkwaruzano.

Nilikuwa sijui kumbe Mgonjwa aliye Hoi, Mahututi, hajitambui na amefumba Macho yake anaweza Kuwaambia waliombeba kuwa wamlete Kanisani Kwako hapo Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers?

Haya Mfukunyuku Mbobezi MINOCYCLINE nimemaliza huku nikiendelea kuwapa Pole Waumini wako.

Kazi kweli kweli hakyanani....!!!!!!
Hawa kondoo wa mwamposa huwa hawaelewu.. Nikiwaambie ni kheri ya Mwakasege anayejiita mwalimu hawaelewi wanaenda kwa anayetoa hadithi za abunuasi kanisani
 
Nabii yupo mbezi beach anakula chips!!? Mhuni mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] alisika muhubiri mmoja
 
Yaani hawataki hata kuelewa mtu akijiita mtume anakua na sifa zipi sema ndo hivyo mkuu mambo ya IMANI huwezi kumtoa mtu KWA mwamposa ety umwambie mwamposa tapeli atakuona ni kichaa umechanganyikiwa kila mtu anaamini anvyoamini
 
Back
Top Bottom