Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

Pumbavu ni wewe usie kuwa na uhakika na unachokifanyanya ,Unajifanya Una AKIRI kumbe ni zero +0,think propery kuna watu unawajadili alafu siyo leval zako,wenzako wanakata kufanya final decision wewe hata namba ya mtendaji huna,umekalilishwa ujimga WA chuo ulichohitimu
 
Hivi ni AKIRI au ni AKILI?

Pumbavu.
 
Na ndipo hapo sasa Sisi Mafisi tunapowabandua mno na tutawabandua hadi Mapepo yao yawatoke.

Hahah, angalia tu usijebandua dada mwenye maruhani akakurarua dushe...

Kuna jamaa ashawahi ruka na mchuchu kiti cha jini nani sijui, kashamsaula kyupi mchuchu, mtiti ulianzia pale jamaa alipotaka tu 'kuteka maji kisimani'...

Alipigwa shoti kama ya electric fence, akazima hapo hapo...
 
Wanajitesa wenyewe Kwan wanalazimishwa kubaki
 
Duh...bro kabisa unajiita fisi na you are proud [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nimekula mabinti wawili kizembe tu juzi hpo kawe wam wemekosa usafiri
Safi sana jana Jumapili nilikula Mmoja, Dakika 30 zilizopita ( Leo ) nimetoka Kumla mwingine na Kesho Saa 7 Mchana naenda Kumla mwingine Kwake Tabata Segerea kwani ana Shida ya Mimba na nimemdanganya nina Timu ya Watoto niliozaa hivyo amesema nitakuwa na Mbegu ( Shahawa ) Kali ambapo Kesho naenda Kumkojolea kisawasawa.
 
ANGALIZO

UKIWA NA MKE AU MCHUMBA ANA SALI HUKO.
POLE NYINGI SANA KWAKO.
 
Acha wakae hata masaa 24 hawa watu wakamuliwe hadi senti za mwisho walizonazo, ikiwezekana waende majumbani wakuze vitu warudi kuendelea kumkabidhi mwamposa ili waombewe! Kweli wajinga hawatakaa waishe hadi mwisho wa dunia! 🤣
 
Mwamposa anawakosesha usingiz... Uzuri ukiona mwanaume anamchukia mwanaume mwenzake basi ujue mama yake, mke wake, baba yake au dada zake wanampenda sana Mwamposa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…