Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali tukikojoa tu hapo hapo zinashika.
Ukiambiwa umalize mapema Ibada zako ili uwaokoe Waumini wako na shida ya Usafiri hutaki na unadai kuwa utamaliza Ibada muda wowote kulingana na vile Roho Mtakafifu anavyokuongoza.
Mwamposa unashindwa nini tu Kuzungumza na Wamiliki wa Daladala na muweke Utaratibu wa kuandaa Mabasi ya Kutosha hata kama Nauli ikiwa ni Tsh 1,000/= tu ila yawe ni mengi na yapaki kwa ndani Tanganyika Packers na yawe yanabeba vizuri na Kiusalama zaidi Waumini wako uliowaaminisha hata visivyowezekanika?
Hivi Mwamposa unajua kuwa kwa Kuchelewa Kwako Kumaliza Ibada zako kumepelekea Wake na Wachumba za Watu Kupigwa na hata Kuachika kutokana tu na Kuchelewa kurejea Makwao?
Achilia mbali kulalwa hovyo na Kuporwa (Kuibiwa) sana kutokana na Kukosa Usafiri, Nauli ila wengine (tena wengi tu) huwa wanakuwa na Njaa sana wakitoka Ibadani Kwako utadhani Maombi yako huwa yanamaliza Viporo vyao vyote vilivyomo Matumboni mwao kiasi kwamba hapa Mafisi ndipo huwa tunapata Advantage ya Kuwalala Usiku Kucha na Asubuhi tunawaaga kuwa Waende Makwao kwa Amani ya Shetani kutokana na Ujuha na Uzembe Wao.
Tafuta upesi sana Suluhisho la Adha ya Usafiri kwa Waumini wako ila jitahidi mno uwe unamaliza Ibada zako Saa 12 Kamili ili basi angalau hadi kufikia Saa 2 au Saa 3 wote wawe wameshafika Makwao.
Nitashukuru sana ukilifanyia Kazi hili.