Mwamposa: Mimi siyo Freemasons na sijui kwanini naandamwa na kusingiziwa vingi

Mwamposa: Mimi siyo Freemasons na sijui kwanini naandamwa na kusingiziwa vingi

Mwamposa tapeli TU,
1. Kwañn viwete anaoponyesha kwny mikutano yake wote wageni eneo la mkutano, hamna hata mwenyeji mmoja[emoji2]
2. Viwete wanaoponyeshwa ulemavu,
wote magongo yao Huwa Ni mapya kabisa brand new. Huwa wanapata wapi muda wa kuyaosha yatakate yawe mapya ndo waende kwny mkutano wake[emoji1787]

3. Sijawahi kuskia mwamposa akamwangusha pepo tajiri yoyote yule,
Kwake waanguka mapepo wote Ni maskini TU[emoji38]
Chifu hata mimi ningekuwa na kipaji cha kucheza cheza na vifubgu vya biblia ningekiwa kama mwamposa. Ujue ujinga wa watanzania wengi pia ni fursa kwa wajanja wanasiasa wanaishi kwa ujinga wa watz, waganga wa kienyeji wanaishi kwa ujinga wa watz, manabii na mitume vivo hivyo. Ujinga wa wengi ni fursa kwao. Dont attack mwamposa personally, dili kwanza na ujinga wa wafuasi wa mwamposa
 
Mwamposa tapeli TU,
1. Kwañn viwete anaoponyesha kwny mikutano yake wote wageni eneo la mkutano, hamna hata mwenyeji mmoja[emoji2]
2. Viwete wanaoponyeshwa ulemavu,
wote magongo yao Huwa Ni mapya kabisa brand new. Huwa wanapata wapi muda wa kuyaosha yatakate yawe mapya ndo waende kwny mkutano wake[emoji1787]

3. Sijawahi kuskia mwamposa akamwangusha pepo tajiri yoyote yule,
Kwake waanguka mapepo wote Ni maskini TU[emoji38]
Hapa bado hatujaanza Kumjadili Yeye na Dada Mrembo mwenye Massage Parlour yenye Jina Maarufu na la mwisho la Timu Mbili Kubwa Hasimu za nchini Italia moja wapo Andrea Pirlo aliichezea na nyingine Ibrahimovic aliichezea.
 
"Juzi nilikuwa Bungeni na tulikuwa Watumishi wengi tu ila nashangaa Picha zangu tu ndizo zinasambazwa kwa Mabaya. Nikibadilisha Viatu hapa Madhabahuni, nikijifuta Jasho na Kitambaa na Nikivaa Cheni naambiwa Mimi ni Freemasons kwanini?" Amehoji Mtume Wenu Mwamposa.

Chanzo: Tv Channel yake muda huu

Kazi ipo.....!!!!!!
Sasa yeye kama anajijua anahofu gani🤔
 
Jumapili iliyopita nilikuwa naangalia ibada ya kanisa la WRM lipo kivule matembele ya pili. Hili kanisa lilikuwa limefungwa takribani miezi miwili na serikali. Sasa wiki iliyopita ndo likawa limefunguliwa. Yule mchingaji wake akawa anaelezea chanzo cha kufungiwa hilo kanisa. Aisee kumbe ni fitna kutoka kwa makanisa menzake hayo hayo. Siyo siri nilijisikia vibaya nikaona haya makanisa yote ni utapeli na biashara tu. Watu wa Mungu naowaamini ukiacha dhehebu langu la RC ni mwakasege na mchungaji FJ Katunzi(huyu mchungaji ntamheshimu mpaka kesho kwa sababu aliniponya pumu mwaka 2004)
 
Cha muhimu afanye kazi ya utumishi wa Mungu,kama anawahubiria watu neno ili waache dhambi sioni shida,hilo la kuvaa cheni,kuwa na gari za kifahari n.k. ni kaliba ya mtu binafsi,ila kama anawahubiria watu habari za Mungu mwingine,Yesu mwingine au waache kutenda mema watende mabaya hapo atakuwa hana maana katika utumishi wake...

hahubiri neno yule, kila siku ana operation ambazo haziishi.
fuatilia hata vitabu vyake , in short muumini wake yeyote pale hawajui chochote kwa habari ya neno la mungu.
 
Back
Top Bottom