Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Sijui labda siku ukipata muda uende ukamuulize mwenyeweSasa wale wanaopona na kutoa ushuhuda huwa anawatoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui labda siku ukipata muda uende ukamuulize mwenyeweSasa wale wanaopona na kutoa ushuhuda huwa anawatoa wapi?
Kama una site tuu na hujaanza kujenga na plan Kila ukipiga hazikupi mwanya peleka pale ,,,, ndani ya miezi kadhaa unakuja na story nyingine kabisa. Nakumbuka mwaka Jana alikuwa na Kongamano MBEZI mama chanja alienda na udongo wake,,, tunavooongea pagale lipo kwenye kuongea Kiinglishi ....Wivu kitu kibaya mimi kwa sababu nafanya minyanduo sina uhalali wa kumkosoa mwamposa.. Mwamposa ni nabii na atabaki kuwa nabii na divyo
Mimi kuna siku nilienda nilipofika nikaambiwa niandike majina yangu, historia yangu na sababu iliyonipeleka, basi nikaamua kuandika majina halafu sababu iliyonipeleka nikaongopa kuna mahali nadai pesa nyingi ila silipwi ndio maana nimekuja niombewe. Ilipofika muda wa maombi nikashangaa kuhania anauliza Skayla ndio yupi, nikasimama, akaniambia unadai pesa mahahali na ninaona kabisa wanataka kukudhulumu kwa sababu kuna roho za wachawi zimeshikilia uchumi wako, nikabaki natoa macho, akasema inabifi unione kabla hujatoka hapa nitakupa mafuta . Na ninaona roho wa Mungu akiniambia wiki hii haitaisha hujapokea pesa yako, na ukipokra unapaswa kuikumbuka mafhabahu hii kwa sadakaMichongo TU,
Ukienda pale huna pepo mabaunsa watakuangusha, ukifurukuta unapigwa vibao kwa jina la yes, Watu wanashangilia unagalagala unatolewa pepo kumbe vibao vinakuumiza[emoji1787]
Ila nimecheka jaman[emoji1787][emoji1787]Mwamposa tapeli TU,
1. Kwañn viwete anaoponyesha kwny mikutano yake wote wageni eneo la mkutano, hamna hata mwenyeji mmoja[emoji2]
2. Viwete wanaoponyeshwa ulemavu,
wote magongo yao Huwa Ni mapya kabisa brand new. Huwa wanapata wapi muda wa kuyaosha yatakate yawe mapya ndo waende kwny mkutano wake[emoji1787]
3. Sijawahi kuskia mwamposa akamwangusha pepo tajiri yoyote yule,
Kwake waanguka mapepo wote Ni maskini TU[emoji38]
Kamtapeli nani?Tapeli huyo
Sasa nyie mlio wa mbinguni mnashindwaje kumwangusha wa satanic agent?Ni zaidi ya freemason, ni satanic agent
Kawateka tu Majuha ( Fools ) na siyo Sisi wenye Akili zetu Kubwa na tunaojitambua.Huyu jamaa hovyo sana, anajua kudanganya watu dijui anatumia uchawi gani maana amewateka kweli
"Juzi nilikuwa Bungeni na tulikuwa Watumishi wengi tu ila nashangaa Picha zangu tu ndizo zinasambazwa kwa Mabaya. Nikibadilisha Viatu hapa Madhabahuni, nikijifuta Jasho na Kitambaa na Nikivaa Cheni naambiwa Mimi ni Freemasons kwanini?" Amehoji Mtume Wenu Mwamposa.
Chanzo: Tv Channel yake muda huu
Kazi ipo.....!!!!!!
=============
Akizungumza na waumini wake, leo Jumapili Februari 12, 2023, Mwamposa amesema: "Yaani mimi nianze kujibizana na watu kwenye mitandao wanavyosema Mwamposa Freemason, nami niingine kwenye mitandao kuanza kuwajibu kuwa mimi si Freemason, sina muda huo hata kidogo.
"Kila kitu nikifanya inakuwa gumzo, juzi nilikuwa Bungeni, nilifanya ibada kwa Wabunge, nilipotoka pale nashangaa picha zinazagaa kuhusu mimi licha ya kuwa watumishi tulikuwa wengi.
"Hata nikiwa hapa (Kanisani) huwa wanashangaa ninavyobadilisha viatu, nabadilisha kwa kuwa mafuta ninayotembea nayo yakimwagikia kwenye kiatu yanakiharibu, hivyo nafaa viatu ambavyo nakuwa comfortable kuzunguka nacho.
"Hata wakiona nimevaa cheni inakuwa gumzo, hata nikivaa kitambaa inakuwa gumzo."
Chanzo: Mwamposa inasemekana freemason wakimfuata mtu kwenda kumshawishi awe mwanachama kwa sababu wameona ana kitu akikataa huwa wanatengeneza propaganda za kila aina.
Siku ukipeleka mali zako zote watoto wanalia njaa ndo utajua duniani kuna manabii au wafanyabiasharaSasa nyie mlio wa mbinguni mnashindwaje kumwangusha wa satanic agent?
Ukwel mtupu mkuu.Ila nimecheka jaman[emoji1787][emoji1787]
Kama Kuna tajiri aliwahi kuanguka pepo mtaje[emoji16]hoja za kitoto mnoo.
Hapo huwa hakuna aliyepona. Hao wote huwa wazima. Wanafanya mchongo wa kupewa pesa ili wawazuge watu. Hamna cha kuponya wala nini. Hao ni matpeli tu. Ndiyo maana wanaoponywa (supposedly) hawajulikani kwenye sehemu ya kuponyewa na pia wote hawajawahi kuwa na ulemavu wa aina yoyote. Kwa nini asiwaponye walemavu wanaojulikana?Hatari sana. Sasa ni nguvu gani huwa zinawaponya hao waumini wake?
Sasa hii thread kaanzisha Mwamposa?Aache kujipa promo za kijinga
Mbona hamuwaondoi sasa?Siku ukipeleka mali zako zote watoto wanalia njaa ndo utajua duniani kuna manabii au wafanyabiashara
Ila maaskofu wa katoliki kuvaa micheni mikubwa ya msalaba na Pete ya dhahabu ya Ki Askofu ni sawa tu? Shida ni Kwa Mwamposa tu?Cha muhimu afanye kazi ya utumishi wa Mungu,kama anawahubiria watu neno ili waache dhambi sioni shida,hilo la kuvaa cheni,kuwa na gari za kifahari n.k. ni kaliba ya mtu binafsi,ila kama anawahubiria watu habari za Mungu mwingine,Yesu mwingine au waache kutenda mema watende mabaya hapo atakuwa hana maana katika utumishi wake...