kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Mnh. mchungaji alikuponya pumu...?Jumapili iliyopita nilikuwa naangalia ibada ya kanisa la WRM lipo kivule matembele ya pili. Hili kanisa lilikuwa limefungwa takribani miezi miwili na serikali. Sasa wiki iliyopita ndo likawa limefunguliwa. Yule mchingaji wake akawa anaelezea chanzo cha kufungiwa hilo kanisa. Aisee kumbe ni fitna kutoka kwa makanisa menzake hayo hayo. Siyo siri nilijisikia vibaya nikaona haya makanisa yote ni utapeli na biashara tu. Watu wa Mungu naowaamini ukiacha dhehebu langu la RC ni mwakasege na mchungaji FJ Katunzi(huyu mchungaji ntamheshimu mpaka kesho kwa sababu aliniponya pumu mwaka 2004)
Kwa hiyo Sio Mungu tena. Haya....