Mwamposa: Mimi siyo Freemasons na sijui kwanini naandamwa na kusingiziwa vingi

Chifu hata mimi ningekuwa na kipaji cha kucheza cheza na vifubgu vya biblia ningekiwa kama mwamposa. Ujue ujinga wa watanzania wengi pia ni fursa kwa wajanja wanasiasa wanaishi kwa ujinga wa watz, waganga wa kienyeji wanaishi kwa ujinga wa watz, manabii na mitume vivo hivyo. Ujinga wa wengi ni fursa kwao. Dont attack mwamposa personally, dili kwanza na ujinga wa wafuasi wa mwamposa
 
Hapa bado hatujaanza Kumjadili Yeye na Dada Mrembo mwenye Massage Parlour yenye Jina Maarufu na la mwisho la Timu Mbili Kubwa Hasimu za nchini Italia moja wapo Andrea Pirlo aliichezea na nyingine Ibrahimovic aliichezea.
 
Sasa yeye kama anajijua anahofu gani🤔
 
Jumapili iliyopita nilikuwa naangalia ibada ya kanisa la WRM lipo kivule matembele ya pili. Hili kanisa lilikuwa limefungwa takribani miezi miwili na serikali. Sasa wiki iliyopita ndo likawa limefunguliwa. Yule mchingaji wake akawa anaelezea chanzo cha kufungiwa hilo kanisa. Aisee kumbe ni fitna kutoka kwa makanisa menzake hayo hayo. Siyo siri nilijisikia vibaya nikaona haya makanisa yote ni utapeli na biashara tu. Watu wa Mungu naowaamini ukiacha dhehebu langu la RC ni mwakasege na mchungaji FJ Katunzi(huyu mchungaji ntamheshimu mpaka kesho kwa sababu aliniponya pumu mwaka 2004)
 

hahubiri neno yule, kila siku ana operation ambazo haziishi.
fuatilia hata vitabu vyake , in short muumini wake yeyote pale hawajui chochote kwa habari ya neno la mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…