DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
sadakaaaaaa zinakutesaaaaaaa gari 5 na kingoraaaaa hahaaaaaa tafutaaaa helaaaa
 
Sasa mbona hawaponi huo UKIMWI walionao anaowaombea na Kutwa tu wanaenda kubadili Damu zao Abroad South Africa na Overseas Marekani?

Huna na Hamna Akili.
Jambo moja ambalo nalijua for sure ni kwamba unamkubali na unamfuatiloa sana jamaa.
 
Zamani alikuwa anayachota hayo Mazingaombwe yake Mji wa Kanu nchini Nigeria ila kwa sasa anachanganya Dawa za Mozambique na Congo DR na chache anatoa Kijijini Kwao kwa Mmoja wa Bibi zake.

Nawaonea mno Huruma Wanaomuamini.
Leo si wakazi wa kawe maeneo ya picolo hatujalala kabsa ule mkesha na kelele zake ilikua siyo mchezo kelele mwanzo mwisho
 
Leo si wakazi wa kawe maeneo ya picolo hatujalala kabsa ule mkesha na kelele zake ilikua siyo mchezo kelele mwanzo mwisho
Anaowaombea wapone VVU walivyonavyo na Kuwadanganya Kitapeli na Kiushirikina ndiyo Wanamlinda na kumpa Kiburi na Jeuri.
 
Utter Nonsense from an authentic Nut.
 
Umewahi kusikia msemo ukisema kuwa pesa ndiyo kila kitu offcouse pesa siyo kila kitu

lakini ni jibu la mambo mengi kabisa
Mfano mwamposa akamtafuta meneja wa hapo na kumwambia kwamba naomba kubomoa kipande hichi na nitakijenga baada ya shughuli yangu akampatia na laki mbili ya maji au tatu we unadhani nini kitashindikana?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…