DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sisteem inawalinda Wachungaji kama hawa maana wanatoa mahubiri ya imani yanayowapumbaza waumini hata kushindwa kuandamana kudai haki zao za msingi kwa serikali dhalimu na kuishia kumwachia Mungu.
 
Tafuta hela hata ikulu inabomoleww na kujengwa sembuse ukuta,popoma utakufa na wivu wa kisengerema.
 
Uyo ni nabii km wale kina nabii isa, ibrahim ,jacob
Tifauti ni yeye anauza neema za mungu
 
Zamani alikuwa anayachota hayo Mazingaombwe yake Mji wa Kanu nchini Nigeria ila kwa sasa anachanganya Dawa za Mozambique na Congo DR na chache anatoa Kijijini Kwao kwa Mmoja wa Bibi zake.

Nawaonea mno Huruma Wanaomuamini.
Sasa kama wanapona shida iko wapi?
 
Mpinzani wa vuka na chako
 
sadakaaaaaa zinakutesaaaaaaa gari 5 na kingoraaaaa hahaaaaaa tafutaaaa helaaaa
Yule mwamba si wa kawaida escort yake utafikiri Madam president kabisa maana miving'ora mipolisi imekaa mkao wa tayari tayari barabara Trafiki wanavuta kwa mbwembwe halafu anakuja kamtu toka Ukwamani anapiga kelele aaaahaaaaa.Mwsmbie atafute hela
 
Mkuu GENTAMYCIME Tanzania ukiwa na pesa na ukiwa tayari kuzinunua mamlaka unaweza kufanya chochote sio Kama kipindi kile uliweza kufanywa chochote na mwendakuzimu.
 
Breaking news: mtoa mada hayupo dar. Yupo zake bunda vijijini huko, kawe anafanya kupasikia tu. Hata hii story amesimuliwa tu.
 
Yule mwamba si wa kawaida escort yake utafikiri Madam president kabisa maana miving'ora mipolisi imekaa mkao wa tayari tayari barabara Trafiki wanavuta kwa mbwembwe halafu anakuja kamtu toka Ukwamani anapiga kelele aaaahaaaaa.Mwsmbie atafute hela
Mtoa mada hakai ukwamani mkuu, anakaa bunda vijijini huko wala dar hajawahi kutoka..hiyo story ya mwamposa amefanya kusimuliwa tu wala hakuna kitu kama.hicho
 
Huyo jamaa ana hela nyingi Sana na pia ndie MCHUNGAJI WA WALOKOLE MWENYE WAFUASI WENGI TANZANIA NZIMA KWA SASA kwaiyo sioni kosa kama kasema atabomoa nakujenga
 
Leo sitokuita POPOMA umeongea point sanaa jambo ambalo linanikera sana mkuu GENTAMYCINE
 
Zamani alikuwa anayachota hayo Mazingaombwe yake Mji wa Kanu nchini Nigeria ila kwa sasa anachanganya Dawa za Mozambique na Congo DR na chache anatoa Kijijini Kwao kwa Mmoja wa Bibi zake.

Nawaonea mno Huruma Wanaomuamini.
Ungepiga picha akichota utuletee. Hoja kavu kavu haina miguu
 
Leo sitokuita POPOMA umeongea point sanaa jambo ambalo linanikera sana mkuu GENTAMYCINE
popoma ni popoma tu. Hivi kuna malipo ukianzisha nyuzi nyingi hapa Jf? mana huyu jamaa anachukulia ligi. Ukichek jana na leo kafungua nyuzi zaidi ya 2
 
popoma ni popoma tu. Hivi kuna malipo ukianzisha nyuzi nyingi hapa Jf? mana huyu jamaa anachukulia ligi. Ukichek jana na leo kafungua nyuzi zaidi ya 2
Sikuizi anatumia mb za kibaba ungemkuta enzi za ubora wake kila jukwaa nyuzi 3 daily
 
umechambua vyema kabisa
 
MWAMPOSA ni Mume wenu sasa maana mnamuandika kilasiku... Na mmeshindwa kaeni awafundishe maisha... Nyie mpo mitandao hamna maisha mnalala chumba kimoja kwa mashemej zenu mmejaa dhiki MWENZENU ana maisha mazuri ya uhakika mpaka kufa...
Ukimchukia MWAMPOSA unaichukia TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…