TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Afadhali angekubali kumuhudumia Marehemu katika taabu zake za siku za mwisho wake, huenda angemsaidia njia njema, kumkatalia mtu huduma ya kiroho sio sawa. Maana Injili ni kwa wenye dhambi.View attachment 3683999
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Uongo?View attachment 3683999

Kuchanganya maisha ya ucha Mungu na mambo ya kimataifa.....ingekuwa mix by yass...japo amesahau akifungua kanisa anachanganya wanasiasa mle utafikiri wana shareKwa hiyo aliogopwa kwa pesa zake?
Kizimkazi itamuangaliaje na imempa Hema kwa pesa za kutoka kwa Bonge? Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, atoke sasa kwenye hilo Hema la Bonge maana pesa zote kuambiwa imetoa Serikali ni gelesha tu pesa za Hema la Mwamposa katoa Bonge, ila mpaka anakufa hakuwahi kumwambia Mwamposa ukweli kua unajitanua kwenye hilo Hema pesa nimetoa mimi na nahisi angemruhusu ilikua ni safari ya kwenda kumueleza ukweli na ushahidi wa miamala angempa aone nahisi Mwamposa angemwendesha kwenye gari mpaka Airport akapae kwenye Jet yake, tuwe na akiba ya manenoWalipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
Uzuri hapori watu kwa nguvu, wanampelekea kwa imani, wanamtolea Mungu sadaka.....afu ye anazieka bank akafanye maendeleo, Mungu ana account bank πππJamabazi anamtuhumu jambazi mwenzie
Hizi sasa rumors za waja! Na ujue siku zote mafanikio ya mtu anayeweza kuyasimlia ni mtu hata hawajuani wala hajui kafanikiwaje ni mastory tu huyu anaishi na nyoka, huyu aliua, ndo kama hizi....mwamposa anakusanya hella yaani hellllaaa hata kama ni gani sidhani kama chivayo amehusika kwa lolote kwa mwamposaKizimkazi itamuangaliaje na imempa Hema kwa pesa za kutoka kwa Bonge? Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, atoke sasa kwenye hilo Hema la Bonge maana pesa zote kuambiwa imetoa Serikali ni gelesha tu pesa za Hema la Mwamposa katoa Bonge, ila mpaka anakufa hakuwahi kumwambia Mwamposa ukweli kua unajitanua kwenye hilo Hema pesa nimetoa mimi na nahisi angemruhusu ilikua ni safari ya kwenda kumueleza ukweli na ushahidi wa miamala angempa aone nahisi Mwamposa angemwendesha kwenye gari mpaka Airport akapae kwenye Jet yake, tuwe na akiba ya maneno