cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 khaah, Dogo uwe na adabu basi.Siko poa mana nipo mpweke Sina mpenzi kwa sasa napitia kipindi kigumu naomba tuyajenge bhasi

Mapenzi hayana dogo mrembo mtume wetu kamoa bi hadija akiwa kamzidi karibia miaka 20 na kitu, bado tu unawaza,😂😂😂 khaah, Dogo uwe na adabu basi.
😂😂😂Mapenzi hayana dogo mrembo mtume wetu kamoa bi hadija akiwa kamzidi karibia miaka 20 na kitu, bado tu unawaza,
Sikia coca nisiwe muongo amini nakwambia Nina kitu special but nitakwambia kwa muda special mahala special siku special pliz nipange bhasi nikupe location pia nilikuomba bday yangu ya mwakani tarehe saba October pliz ............................po
😂😂😂Sikia coca nisiwe muongo amini nakwambia Nina kitu special but nitakwambia kwa muda special mahala special siku special pliz nipange bhasi nikupe location pia nilikuomba bday yangu ya mwakani tarehe saba October pliz ............................po
...
Sasa nguvu mbili za giza zingeweza kweli kukaa kwenye madhabahu moja?
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Rafiki wa Samuya huyo ujue!?Tapeli kazini
Coca I love u pliz since those years nadhani unafahamu hilo
SawaCoca I love u pliz since those years nadhani unafahamu hilo
🙏🙏🙏🙏Sawa
Mbona wote mashetani hao? kwa hiyo anataka kusema chivayo hafai yeye anafaa? harafu kwa nini yeye boni ambague chiva boi wakati chiva na bibi msumi zinaiva harafu boni tena na bibi yule damudamu?
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Toka lini wahudhuriaji wa mkesha wanatumia maombi kuhudhuria Hadi wengine wakataliwe?
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Mange kapost picha mtume Yuko na chivayo. Tuna ngoja aseme ni AI.Mtumishi anamkataliaje mtu kuja ibadani?
😄 😄 😄 Dada wa taifaMange kapost picha mtume Yuko na chivayo. Tuna ngoja aseme ni AI.