Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Aposto anavokomaliaga sadakaa kwny ibada zake, utaskia wewe mtenda kazi uliebeba chombo cha sadakaa anzia nyuma pita kila mstari muumimi atoe sadaka yakeee vizuriiiii......angekataa sadaka za mabilioni kutoka kwa bonge kweliii🤭
 
Nyumba ya ibada siyo sehemu ya kuchagua watu.
Hayo ni maeneo ambayo wema na waovu watakuja kutubu makosa yao.
Kama mlimnyima nafasi hiyo mjitafakari.
 
Kizimkazi itamuangaliaje na imempa Hema kwa pesa za kutoka kwa Bonge? Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, atoke sasa kwenye hilo Hema la Bonge maana pesa zote kuambiwa imetoa Serikali ni gelesha tu pesa za Hema la Mwamposa katoa Bonge, ila mpaka anakufa hakuwahi kumwambia Mwamposa ukweli kua unajitanua kwenye hilo Hema pesa nimetoa mimi na nahisi angemruhusu ilikua ni safari ya kwenda kumueleza ukweli na ushahidi wa miamala angempa aone nahisi Mwamposa angemwendesha kwenye gari mpaka Airport akapae kwenye Jet yake, tuwe na akiba ya maneno
Unauhakika hema lilitoka Kizimkazi?
 
Hizi sasa rumors za waja! Na ujue siku zote mafanikio ya mtu anayeweza kuyasimlia ni mtu hata hawajuani wala hajui kafanikiwaje ni mastory tu huyu anaishi na nyoka, huyu aliua, ndo kama hizi....mwamposa anakusanya hella yaani hellllaaa hata kama ni gani sidhani kama chivayo amehusika kwa lolote kwa mwamposa
Bonge alikua anamwaga hela lile Hema ni pesa za Bonge anataka Mwamposa atoke akatae ila Bonge ndio kamwaga zile hela pale weengine walisimama km madalali tu kujifanya pesa wametoa wao wale madalali wa Ikulu kuna mmoja yeye ni mwendo wa mitikasi tu siku hizi anajiaandaa awe rais
 
Hata mimi Chivayo alitaka kuja kwenye genge letu la gahwa,,,

Tukamkatalia manake tukasema watu watasema sisi tunachukua hela kwake....

Au pengine sisi ni wana siasa....

Halafu jana yake kuna jamaa alikuwa amelewa akatoka nje uchi kukojoa ,,,

Kesho yake mtaa mzima wakasema wameona..mchawi...
Ahahahaaaa au sio
 
Bonge alikua anamwaga hela lile Hema ni pesa za Bonge anataka Mwamposa atoke akatae ila Bonge ndio kamwaga zile hela pale weengine walisimama km madalali tu kujifanya pesa wametoa wao
Wakati bonge akitoa pesa hizo ulikuwepo? Na je alisema hii pesa sitaki mwamposa ajue kama mimi ndo nimetoa? Haya kati ya waluopokea hizo mahela una ukaribu naye akathibitisha?
 
Huu ni uongo na utapeli.
Mwamposa anapita na pesa za maskini mpaka wanarudi kwao kwa miguu aziache za bilionea chivayo?.
Imagine mtu ambaye ana mahotel, DALADALA, ma apartments na ma v8 ya kutembelea pia this year anadaka chopa ya mabilioni anawaambia maskini watoe sadaka ya KUJIMALIZA.
 
Sasa kama alimkatalia, ya nini kumtangaza? Mademu wengi wangekuwa na tabia ya kuwatangaza watu walio wachombeza na waliowapiga chini, msululu huo ungejipanga Dar hadi Morogoro…

Huyu mchungaji aaache shombo za kijinga kijinga kama hizi…
 
Afadhali angekubalu kumuhudumia Marehemu katika taabu zake za siku za mwisho wake, huenda angemsaidia njia njema, kumkatalia mtu huduma ya kiroho sio sawa. Maana Injili ni kwa wenye dhambi.
Kama siasa Mwamposa ni mwanasiasa mkubwa kuliko huyo Chivayo.
Mwamposa ni tapeli. Msimwamini!

anatafuta umaarufu kwa marehemu, mwizi mkubwa!
 
View attachment 3683999

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Yaani Samia amkubali, halafu chawa mtu amgomee, tena kibhopa?

Hiyo ni chai alikuwa akinywesha misukule yake.
 
Afadhali angekubali kumuhudumia Marehemu katika taabu zake za siku za mwisho wake, huenda angemsaidia njia njema, kumkatalia mtu huduma ya kiroho sio sawa. Maana Injili ni kwa wenye dhambi.
Kama siasa Mwamposa ni mwanasiasa mkubwa kuliko huyo Chivayo.
Mkuu unachekesha Sana. Nani amekwambia Mwamposa yupo kwa ajili ya Injili au kwa ajili ya Wokovu?
 
View attachment 3683999

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Kama Kuja si angekuja tu kwani ilikuwa lazima apige simu
 
View attachment 3683999

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Tapeli anapomuogopa tapeli mwenzake🙂
 
Back
Top Bottom