Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Kiki tu, Kwa sababu marehemu hawezi kuzungumza tena
 
Mbali na makandokando ya huyo chivayo(mimi Sina uhakika only God knows what) ,kifo chake kimenifunza kitu kuhusiana na sisi watu weusi Hususani sisi watu wenye tunanuka umaskini wa kimwili na akili. Watu hawapendi mafanikio yako na wapo radhi kusubiria anguko lako ili wapate kusema na kuonge nyongo zao zilizojificha kwenye ndani ya mioyo yao.
Tunasahau kwamba uwe maskini au tajiri njia yetu ni moja tu. Haijalishi kifo kitakupata wapi ukiwa na nani na ukiwa Hali gani.
 
Kwa hiyo sisi tunaoenda bila kumpigia simu tusemeje? Au kama angekuja kimyakimya bila kumpigia simu angemfukuza?
 

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Dalali mmoja kamzuia dalali mwingine asije kwenye kijiwe chake.
sio habari hiyo.
 

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Huyu jamaa hataki mwenzake aje kwake? Falme zingegongana.??
 
Mpiga dili kazini! Yaani Mwamposa ni wa kumsimanga Chivayo kweli! Dah!
 
Unauhakika hema lilitoka Kizimkazi?
Wewe fuatilia tena kwa umakini ile ni Pango la Walanguzi na Wanyang'anyi

Yeremia 7:11 '' Je! Nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, imekuwa pango la wanyang'anyi machoni penu? Angalieni, mimi, naam, mimi, nimeliona jambo hili, asema BWANA.''

Marko 11:17-18 '' Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi. Wakuu wa makuhani na waandishi wakapata habari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza; maana walimwogopa, kwa sababu mkutano wote walishangaa kwa mafundisho yake. ''

Wakolosai 3:5-10 '' Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya MUNGU. Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano wake yeye aliyeuumba.''

1 Timotheo 4:1' ''Basi ROHO anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;"

Mathayo 21:13 '' akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.''

Luka 19:45-46 ''Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara, akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.''

''Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo ROHO ayaambia makanisa.-Ufunuo 3:22''
 
Kiki Kwa pikipiki.
Mungu yupo wazi na uhusiano nae ni wa bure. Haihitaji madalali au watu wa kati!!! Hatari zaidi ni “mawakala” ambao wana kazi za kuhamasisha watu ndani ya familia na koo zao kwa gharama kubwa za hali na hata mali zao.
Tusome alama za nyakatiHatari sana. Kamwe usilipie ujinga.
uko wazi.
Afadhali angekubali kumuhudumia Marehemu katika taabu zake za siku za mwisho wake, huenda angemsaidia njia njema, kumkatalia mtu huduma ya kiroho sio sawa. Maana Injili ni kwa wenye dhambi.
Kama siasa Mwamposa ni mwanasiasa mkubwa kuliko huyo Chivayo.
Kama siasa Mwamposa ni mwanasiasa mkubwa kuliko huyo Chivayo. unatakiwa upimwe akili mpaka mwamposa anakufa hawezi fika level ya chivayo.
Jamabazi anamtuhumu jambazi mwenzie
et
Tapeli kazini
kabisa
Kizimkazi itamuangaliaje na imempa Hema kwa pesa za kutoka kwa Bonge? Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, atoke sasa kwenye hilo Hema la Bonge maana pesa zote kuambiwa imetoa Serikali ni gelesha tu pesa za Hema la Mwamposa katoa Bonge, ila mpaka anakufa hakuwahi kumwambia Mwamposa ukweli kua unajitanua kwenye hilo Hema pesa nimetoa mimi na nahisi angemruhusu ilikua ni safari ya kwenda kumueleza ukweli na ushahidi wa miamala angempa aone nahisi Mwamposa angemwendesha kwenye gari mpaka Airport akapae kwenye Jet yake, tuwe na akiba ya maneno
una hoja
Taahira hili linataka kwenda na upepo wa Bonge
kabisa
mwamposa anavyopenda pesa na kiki sasa ammatae chivayo amkubali kizimkazi si yale yale tuu..
et
Nyumba ya ibada siyo sehemu ya kuchagua watu.
Hayo ni maeneo ambayo wema na waovu watakuja kutubu makosa yao.
Kama mlimnyima nafasi hiyo mjitafakari.
kabisa
Jamaa alitaka kutumia kanisa kutakatishia pesa
kapimwe ndugu yangu utakuwa mgonjwa wewe
Bonge alikua anamwaga hela lile Hema ni pesa za Bonge anataka Mwamposa atoke akatae ila Bonge ndio kamwaga zile hela pale weengine walisimama km madalali tu kujifanya pesa wametoa wao wale madalali wa Ikulu kuna mmoja yeye ni mwendo wa mitikasi tu siku hizi anajiaandaa awe rais
kabisa
Sasa kama alimkatalia, ya nini kumtangaza? Mademu wengi wangekuwa na tabia ya kuwatangaza watu walio wachombeza na waliowapiga chini, msululu huo ungejipanga Dar hadi Morogoro…

Huyu mchungaji aaache shombo za kijinga kijinga kama hizi…
una hoja
Mwamposa ni tapeli. Msimwamini!

anatafuta umaarufu kwa marehemu, mwizi mkubwa!
una hoja
Yaani Samia amkubali, halafu chawa mtu amgomee, tena kibhopa?

Hiyo ni chai alikuwa akinywesha misukule yake.
et
Unasubiri mtu afe ndio useme
et
Kiki tu, Kwa sababu marehemu hawezi kuzungumza tena
et
Kanisani kuna biashara gani ya kutakatisha pesa?.
Fafanua
hana akili
Mpiga dili kazini! Yaani Mwamposa ni wa kumsimanga Chivayo kweli! Dah!
et
 
Uzuri hapori watu kwa nguvu, wanampelekea kwa imani, wanamtolea Mungu sadaka.....afu ye anazieka bank akafanye maendeleo, Mungu ana account bank 😀😀😀
😂😂
 

"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
-
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji wengi, akija wapo watu watuchukulia kisiasa. Pili watu watadhani vitu vyote tunavyovifanya hivi huwa tunachukua hela kwake.
-
Nataka watu wajue ni Mungu anatufanikisha. Uliza Ma-Pastor nilipigiwa simu anataka kuja" Amesema Mwamposa
Ila akituma Pesa au mnaita sadaka hamuirudishi.
 
uko wazi.

Kama siasa Mwamposa ni mwanasiasa mkubwa kuliko huyo Chivayo. unatakiwa upimwe akili mpaka mwamposa anakufa hawezi fika level ya chivayo.

et

kabisa

una hoja

kabisa

et

kabisa

kapimwe ndugu yangu utakuwa mgonjwa wewe

kabisa

una hoja

una hoja

et

et

et

hana akili

et
Chivayo ni Tapeli, Period.
 
Back
Top Bottom