Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Aposto anavokomaliaga sadakaa kwny ibada zake, utaskia wewe mtenda kazi uliebeba chombo cha sadakaa anzia nyuma pita kila mstari muumimi atoe sadaka yakeee vizuriiiii......angekataa sadaka za mabilioni kutoka kwa bonge kweliii🤭
 
Nyumba ya ibada siyo sehemu ya kuchagua watu.
Hayo ni maeneo ambayo wema na waovu watakuja kutubu makosa yao.
Kama mlimnyima nafasi hiyo mjitafakari.
 
Unauhakika hema lilitoka Kizimkazi?
 
Bonge alikua anamwaga hela lile Hema ni pesa za Bonge anataka Mwamposa atoke akatae ila Bonge ndio kamwaga zile hela pale weengine walisimama km madalali tu kujifanya pesa wametoa wao wale madalali wa Ikulu kuna mmoja yeye ni mwendo wa mitikasi tu siku hizi anajiaandaa awe rais
 
Ahahahaaaa au sio
 
Bonge alikua anamwaga hela lile Hema ni pesa za Bonge anataka Mwamposa atoke akatae ila Bonge ndio kamwaga zile hela pale weengine walisimama km madalali tu kujifanya pesa wametoa wao
Wakati bonge akitoa pesa hizo ulikuwepo? Na je alisema hii pesa sitaki mwamposa ajue kama mimi ndo nimetoa? Haya kati ya waluopokea hizo mahela una ukaribu naye akathibitisha?
 
Huu ni uongo na utapeli.
Mwamposa anapita na pesa za maskini mpaka wanarudi kwao kwa miguu aziache za bilionea chivayo?.
Imagine mtu ambaye ana mahotel, DALADALA, ma apartments na ma v8 ya kutembelea pia this year anadaka chopa ya mabilioni anawaambia maskini watoe sadaka ya KUJIMALIZA.
 
Sasa kama alimkatalia, ya nini kumtangaza? Mademu wengi wangekuwa na tabia ya kuwatangaza watu walio wachombeza na waliowapiga chini, msululu huo ungejipanga Dar hadi Morogoro…

Huyu mchungaji aaache shombo za kijinga kijinga kama hizi…
 

Hata Mimi Vivyo Hivyo,,Big Wick Chiva Alitaka Kuja Kwenye Kiwanda Changu Cha Uchakataji Skanka,,Nikamkatalia Pia...​
 
Mwamposa ni tapeli. Msimwamini!

anatafuta umaarufu kwa marehemu, mwizi mkubwa!
 
Yaani Samia amkubali, halafu chawa mtu amgomee, tena kibhopa?

Hiyo ni chai alikuwa akinywesha misukule yake.
 
Mkuu unachekesha Sana. Nani amekwambia Mwamposa yupo kwa ajili ya Injili au kwa ajili ya Wokovu?
 
Nyumba ya ibada siyo sehemu ya kuchagua watu.
Hayo ni maeneo ambayo wema na waovu watakuja kutubu makosa yao.
Kama mlimnyima nafasi hiyo mjitafakari.
Kuna nyumba nyingine za Ibada ni milango ya kuzimu!
 
Kama Kuja si angekuja tu kwani ilikuwa lazima apige simu
 
Tapeli anapomuogopa tapeli mwenzake🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…