Mwamposa: Nilimkatalia Chivayo asihudhurie kwenye mkesha wangu

Marehemu hawezi kujitetea.
Waache kutafuta umaarufu kupitia kwa watu maarufu/matajiri; marais walimpokea sembuse yeye.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikia coca nisiwe muongo amini nakwambia Nina kitu special but nitakwambia kwa muda special mahala special siku special pliz nipange bhasi nikupe location pia nilikuomba bday yangu ya mwakani tarehe saba October pliz ............................po
...
 
Sasa nguvu mbili za giza zingeweza kweli kukaa kwenye madhabahu moja?
 
Mbona wote mashetani hao? kwa hiyo anataka kusema chivayo hafai yeye anafaa? harafu kwa nini yeye boni ambague chiva boi wakati chiva na bibi msumi zinaiva harafu boni tena na bibi yule damudamu?
 
Toka lini wahudhuriaji wa mkesha wanatumia maombi kuhudhuria Hadi wengine wakataliwe?
Sasa awataje wote walioomba kuhudhuria mkesha akawakatalia. Asingoje wafe ndo aje kusema.
 
Hayati alimpa G class mpya kabisa Prophet Hubert Angle nikaanza kua na mashaka na credibility ya Prophet ila maana hayat watu wote walionyooka walikua wanakitenga na kibunda chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…