Hebu tufikiri kidogo,Rais na Chivayo ni marafiki, na mwamba ashakuja marakadhaa na Msibani alienda,unamkataa Mwamba wakati rafiki yake mwamba alikuja kwako, na wewe ulienda.
anyway maisha yatafuatana na watoto wake na yule mke aliyekuwa hampendi?????? naona waafrica hawajawaza nnje ya box kuwa mke kapiga juju maana ma kesi yalijaa mahakamani