LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huu msukule unafaidi sana kuwa na tanzania ya kijinga acha apige kampeni! Hana upako wowote! ni Shetani tu huyu! Wachungaji wa kweli wa kiroho muombeeni huyu majinuni ajulikane mission yake hapa tanzania!
Kweli kabisa mkuu. Hawa misukule wanapaswa kufutushwa hapa nchini kama alivyofurushwa kiboko ya wachawi.
 
Hivi KiTime na Shoo huwa wanafanyaga nini ?acheni kumwonea Mwamposya jamani
Kama ndivyo ni Bora mfumo wa vyama vingi ufutwe tu,kwa kuwa na waislamu na wao wakisema kura wapewe CUF au ACT sijui itakuwaje.
Chokochoko za Dini zikianza kuingilia Siasa mwisho uwa sio mzuri.
 
yaani waumini wake wanavyomsikiliza na kufuata anacho sema CHADEMA wahesabu maumivu tu sasa hakuna muumini wa mwamposa ataenda kuipigia chadema yaani hilo siyo ombi ni kama sheria sasa ukiwa kwa mwamposa unaipigia ccm chadema wachore chini wabandue ndiyo kura zao
 
Sisiemu Kwan wametoa swadaka Kwa ajili yake ?
 
Kama ndivyo ni Bora mfumo wa vyama vingi ufutwe tu,kwa kuwa na waislamu na wao wakisema kura wapewe CUF au ACT sijui itakuwaje.
Chokochoko za Dini zikianza kuingilia Siasa mwisho uwa sio mzuri.
wanasemaga siasa na dini haviwezi uwa tofauti sasa ndiyo shida inapoanzia hapa sasa
 
Nimemshangaa sana huyu jamaa jinsi anavyowashikia akili waumini wake na kumhusisha Mungu na mambo ya kishetani (CCM). Huu uthubutu kaupata wapi? Analindwa na nani hadi awapotoshe watu hadharani kiasi hiki?
mambo ya kishetani yapo chadema siyo ccm
 
Kafanya kosa kubwa sana huyu Nabii, kura ni siri ya mtu na wala sio agizo kutoka kwa mtu mwingine.... Askofu ameharibu kila kitu, asipoangalia ataligawa hata kanisa lake.
Wala hana kosa bali ametoa ushawishi, na ni uamuzi wao kwenye sanduku la kura bado itabaki siri yao.
 
Watu wako kivipi,

Watu ni wa Mungu, ndiye aliyewaumba, wapo kwako Ili uwasaidie kumjua Mungu tu.

Watu Waache wachague viongozi wawatakao.
 
Watu wako kivipi,

Watu ni wa Mungu, ndiye aliyewaumba, wapo kwako Ili uwasaidie kumjua Mungu tu.

Watu Waache wachague viongozi wawatakao.
Anataka kuwamiliki kama wafugaji wanavyomiliki wanyama. Hao waumini ni misukule yake; ngoja airndeshe atakavyo.
 
Anataka kuwamiliki kama wafugaji wanavyomiliki wanyama. Hao waumini ni misukule yake; ngoja airndeshe atakavyo.
Ilitosha kuwahamasisha kushiriki mchakato wa uchaguzi,

Lakini kuwaelekeza Hadi chama Gani wakipigie kura hiyo ni kuwafanya waumini kama vile hawajielewi.
 
Watu wako kivipi,

Watu ni wa Mungu, ndiye aliyewaumba, wapo kwako Ili uwasaidie kumjua Mungu tu.

Watu Waache wachague viongozi wawatakao.
Ni misukule yake ndiyo maana anawafinyanga atakavyo
 
Ilitosha kuwahamasisha kushiriki mchakato wa uchaguzi,

Lakini kuwaelekeza Hadi chama Gani wakipigie kura hiyo ni kuwafanya waumini kama vile hawajielewi.
Ni kweli hawajielewi ndiyo maana wanazidi kumtajirisha kwa vipato vyao vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…