LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii habari sio ya kweli nilikuwepo bukoba kwenye mkutano, kasema kwanza kapewa taarifa na uongozi wa mkoa ahimize watu wakajiandikishe na wachague kiongozi wanayemyaka hajasema chama chochote, mtoa Post huna akili.
Nilisikiliza kongamano pia mtoa post mchochez mana aliongea kwa ufupi Sana, kwamba watu wakajiandikishe hakutaja chama wala jina la kiongozi
 
Mjadala huu unahusu Mwamposa na uhamasishaji wa "watu wake" kuipigia kura CCM. Mwamakula anaingiaje hapa mkuu? Jielekeze kwenye hoja iliyopo kwenye uzi.
Mjinga wewe. Kila siku Askofu Mwamakula yupo na Chadema husemi. Leo Mwamposa kuisemea vizuri CCM unalia umenyanyua mdomo ka mbwa!!!
 
Kweli. Baada ya kuona kiboko ya wachawi amefungiwa huduma na CCM, yeye ameamua kula meza .moja na mafisadi wa CCM.
Bado tuu unamtetea mchungaji wako kiboko ya wachawi? Kwel Wabongo n kichwa cha mwendawazimu.
 
Unajua aliyempa elimu ya dini Mohamadi walikua ni mapadri na ndio waliombashiria kuwa mtume na ndio maana hadithi zote za mtume ni zile zilizoandikwa kwenye vitabu vilivyoko kwenye Biblia ya Kanisa la Katoliki .

Hauna elimu ya dini zaidi ya kukaribishwa na hautaki kusoma vitabu ukafunguka macho .

Kaukurasa kamoja kwa kukariri unadhani ndio ulemjua Mungu na Elimu ya dini na upana wake .

Kwani Mapadri walizaa na wake zao inakuhusi nini wewe mzinzi mwenzao na basha na shoga anayejiingiza kidole matakoni kutoa kinyesi.

Kama mnampenda Kweli Mwamposa mbona hamwaliki Zanzibar akatoe majini yenu ya ushoga ulikithiri Pwani na Visiwani . ?
Wabaguzi wakubwa mnajifucha kwenye kichaka cha dini wakati hamjui chochote zaidi ya ugaidi .

Leta Hadithi moja ya mtume nikuonyeshe alipoitoa kwenye kitabu cha Wakatoliki . Unafikiri Wakatoliki walikua wajinga kugawa dini kwa kila jamii na kuwaacha waanze kurukaruka nazo.
Roman Empire iliwatangulia Mbele kisayansi na kijamii na kila kitu kwa karne nyingi sana na walijua mbinu nyingi za kuwagawa wetu na kuwatawala moja wapo ni kuwapa dini yao ili wasije wakapokea Ukristo ule ulioachwa na Yesu maana ulikua ni tishio kwa watawala . Na waliwahifia waarabu kuwa wakiwa Wakristo watawazidi .
Ukristo ulikua umeshaingia Uturuki,Libya Misri ,Tunisia ,Ethiopia , Lebanoni , Syria na karibu nchi zote za Kiarabu karni za kwanza kabisa jambo lililowaogopesha sana Warumi ndio maana wakaja na mkakati wa kutengeneza dini ya Waarabu ili waachane na Ukristo wa kweli ule wa Yesu aliouacha .

Protestant walipewa ya kwao na sehemu ya maandiko ndio hiyo Biblia mnayocheza nayo kila siku mnafikiri ndiyo ya Kanisa Katoliki. Wakampa na Mohamadi sehemu ya vitabu vya Musa na mafundisho ya vitabu vya mashairi na vitabu vya Hekima basi akawa anawasimulia mazuzu wakajua ana Elimu kubwa ya mambo ya dini kumbe amefundisha na mapadri wa kikatoliki.

Soma vitabu na chimbuko la hizi dini uachane na ujinga wa kuona kuwa wakristo wakikaa kimya hawajui uislam ulikotoka na unayoyafanya .

Wapumbavu wanapewa kasehemu kadogo ka dini ili warukeruke nako na kuuna wenyewe kama kule Somalia na Afghanistan.
Unaandika maneno mengi ila kichwani sifuri hayasomeki na hayaeleweki... Ndiyo maana papa lenu la katoliki limekubali mfunge ndoa za kufiranah ktk makanisa yenu yenye masanamu ya yesu na maria 💩💩 ukiwa mpuuz ni mpuuz tu
 
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.

Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.

MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.

Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.

Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Tapeli mkubwa na freemason huyu. Na ni mkwepa kodi ndiyo maana anajigonga kwa CCM
 
Attachments

  • Screenshot_20230505_075141_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20230505_075141_WhatsApp.jpg
    65.8 KB · Views: 1
Mtibeli alishawahi kusema ukitaka kumiliki pesa basi wewe miliki watu tu
Yupo sahihi kabisa mkuu. Ndio maana watawala wa nchi hii matumbo yao yamejaa kama samaki wanavyojaa kwenye tenga huku wananchi wanaowatawala wakifa kwa utapiamlo.
 
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.

Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.

MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.

Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.

Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Huu msukule unafaidi sana kuwa na tanzania ya kijinga acha apige kampeni! Hana upako wowote! ni Shetani tu huyu! Wachungaji wa kweli wa kiroho muombeeni huyu majinuni ajulikane mission yake hapa tanzania!
 
Mi mara 💯 ya Mh.Nape Nauye aliye mwanasiasa kusema ya Siasa,kuliko kiongozi wa Dini kutoa maelekezo kwa waumini wake wafanye nini..
Huko ni kuiba haki za msingi za kuchagua na kuchaguliwa.
Kama ni kweli ni Bora haifute kauli yake,kwani inakinzana na Sheria za Nchi.
 
Hivi KiTime na Shoo huwa wanafanyaga nini ?acheni kumwonea Mwamposya jamani
 
Back
Top Bottom