1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
MWAMPOSA ANAWAKOSESHA USINGIZ, ANAWANYIMA RAHA, ANAWAKERA WAPUMBAV NDIO MAANA KILASIKU MNAMJADILI MWANAUME KIDUME WENU...
Kama kweli ni nabii na ametumwa kuwasadia watu kwa nini hajawahi kwenda Zanzibar kuuza maji na mafuta ya upako ?
Au Zanzibar hakuna wapiga kura na wenye shida ?
Kwa nini wanasubiri mapadri wa kanisa katoliki wauawe ,wamwagiwe tindikali ,makanisa yao yachomwe moto na bado kanisa katoliki linafanya ibada zake Zanzibar kumtangaza Kristo katika ya madhila makubwa na hata kupoteza maisha yao . Kesho Wazanzibar waligeuka wakawa na upendo mkubwa kwa ukristo na kukubali kuweka uhuru wa kila mtu kubadili dini anayotaka bila kubaguliwa na akishaona kuna Wakatoliki wengi ,waluteri wengi , waanglicana wengi ambao ni kama samaki waliokwisha kuvuliwa na kuwekwa kwenye ndoo ndipo hao manabii matumbo watakwenda na suti zao kuokota samaki kwenye ndoo za wengine kwa kuwadanganya waumini kuwa huko kwa wakatoliki hakuna wokovu . Lakini wakati mapadri wanauawa kwa kumtetea Kristo wao walijificha Dar es salaam kutapeli watu kuwa wao ni manabii .
Huyo Mwamposa angeenda Zanzibar aue watu nane kwa siku moja kama kule Moshi ndio tungejua kuwa kweli ni ni bulldozer . Zanzibar akijiita tu mtume ameliwa kiPDiddy.
Acheni kuwadharau walioleta nuru katikati ya giza kuu.
Zanzibar kuna kanisa la Anglicana,Lutherani na Roman Catholic zaidi ya karne moja sasa katika mazingira magumu sana sio haya ya akina Mwamposa amekuta dini nyingine zimeshawafundisha watu wanaamini na kujua hata kuwa kuna mitume na manabii.