Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangi kubalini tu kuwa Mbowe ni mzee sio kijana tena ,hivi binadamu anayo miaka zaidi ya sitini mnataka kutulazimisha kuwa ni kijana?Kwamba Ccm imekupa mmomonyoko wa ubongo hadi kukosa staha kwa wasio na itikadi za kichoko kama wewe?
Limekubuhu aisee,limengania uwenyekiti tangia nikiwa kijana mdogo hadi leo na mimi nakaribia kuitwa babu🙆♂️🙆♂️🙆♂️tapeli la kisiasa
Ndio akili misukuleMpe ndogo asipokufumua marinda.
lazima aungane na matapeli wenzie!Mkuu huyu ni tapeli kama matapeli wengine tu na anajua kuwa asipoikumbatia CCM ataumbuliwa utapeli wake. Lakini kuna siku itafika atajua Mungu hadhihakiwi.
Misukule ipo chadema mangi ,Mwamposi hajifikia hadhi ya kuwa na wafuasi misukule kama wa Mzee MboweHaya tena misukule ya Mwamposa tekelezeni amri ya mungu wenu.
Kama mzee Mbowe na genge lakelazima aungane na matapeli wenzie!
Yeye na mzee Mbowe ni nani mhuni?
Pole sana msukule wa Mwamposa.Misukule ipo chadema mangi ,Mwamposi hajifikia hadhi ya kuwa na wafuasi misukule kama wa Mzee Mbowe
Hivi embu tauambie ile michango cdm ilikuwa inakusanya kwenye mikutano imetumikaje ?Mwamposa ana kila Sina ya Uhuni. Ni muongo, mwizi na tapeli. Serikali isipoingilia kati atafirisi watu.
Huyu anakusanya kanisani mwingine anakusanya kwenye mikutano ya siasa ,hapa ngoma ni sawa sawa kabisa.MAOKOTOSiasa na dini ni mapacha sio za kuamini kabisa!
Ukweli mtupu.Mtanzania yeyote mwenye pesa ukimuona yuko CCM jua kuwa huyo pesa zake ni za haramu.
CCM ndio njia nzuri ya kuzilinda pesa zako za haramu katika nchi hii
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya waumini wake waliofurika kwenye kiwanja alipokuwa akihubiri na kutoa mafundisho ya Yesu. "Hata Yesu alihesabiwa, hivyo nawasihi watu wangu wote mwende mjiandikishe na kuwapigia kura wagombea wa CCM". Amesema.
Askofu Mwamposa alitumia takribani saa nzima kabla ya kuanza mahubiri kuwahimiza, kuwasihi na kuwashawishi wafuasi wake wafanye kama alivyowaagiza na Mungu atawabariki.
MAONI YANGU
Huyu askofu sasa naona mahubiri yanakaribia kumshinda. Hakuwa na haja ya kuwahimiza wafuasi wake kuwapigia kura CCM kwa sababu waumini wake wote sio wanaCCM.
Asitake kutumia fimbo ya upako na miujiza kulazimisha mambo kwa matakwa yake binafsi. Angeishia tu kuwahimiza wakajiandikishe kuliko kwenda mbali zaidi kuwaelekeza aina ya wagombea watakaowapigia kura.
Hii ni sawa na kuwageuza binadamu wenzake kuwa misukule yake. Haifai, haipendezi na Mungu hapendi.
Anasema watu wake
Yeye ana watu?
Huyo ni KIBWETERE wa kizazi kipya. Onyo kwa wafuasi wake, yatawakuta ya Kibwetere siku sio nyingi maana hata maandiko yametahadharisha kuwa SIO KILA ATAJAYE JINA LANGU NI WANGU.Tapeli wa kidini.