LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Palipo na mzoga ndipo hukusanyika tai.... CCM ni mzoga na akina Mwamposa ndio tai wenyewe! Sijawai ona mnyakyusa mpumbavu na hayawani kama yeye. Muda ni hakimu wa yote.
Ishu ni kwamba anafanya hivyo ili apate security toka kwa hao ccm.. ikitokea ghafla 2025 upinzani ukashika dola utaona atakavyo badili gia angani..
 

AKitokea Shehe au Mchungaji akihamasisha watu wao wakipigie kura chama fulani tofauti na sisiemu ,kesho yake DPP na PoliCCM wanaenda kufungia msikiti na kanisa kwa uchochezi na kesi ya ugaidi au ya uhujumu uchumi juu.

Opposition watambue kwamba sisiemu haiwezi kuondolewa kwa kupiga kura hata siku moja.....Kwasasa sisiemu ni kama wakoloni watumie mbinu alizotumia nyerere kujipatia uhuru ,wamarekani wamemshauri Mu7 2026 asigombee urais ,na hivyo hivyo opposition waende kimataifa kwa wazungu ili waishauri sisiemu iachie madaraka maana kikawaida hawataondoka kwenye sanduku la kura.
 
Ccm na serikali yake vina laaana.
 
Hii habari sio ya kweli nilikuwepo bukoba kwenye mkutano, kasema kwanza kapewa taarifa na uongozi wa mkoa ahimize watu wakajiandikishe na wachague kiongozi wanayemyaka hajasema chama chochote, mtoa Post huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…