Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe

Yani huwa najisikia faraja sana mwamposa akipiga pesa kwa kutumia biblia , hiyo biblia ndio iliyofanya wakoloni wakatutapelia lakini sisi wamatumbi tukiitumia kupiga pesa mnalalama kwa nini lakini?
 
JESUS FIRST JESUS FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST, BELIEVE AND WORSHIP

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT

HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU

Malaria 2 Adiosamigo Jagina

Nyau de adriz
Hapa hakuna Jesus wewe nanga. Ni tapeli kawadanganya wajinga waende kupata shortcut za matatizo yao. Upande mmoja una tapeli na upande wa pili wajinga wanaodhani shida zao zitatatuliwa kimuujiza. Hapa walienda kwa nia ya kuabudu ni wachache mno.
 
Aiseee! Kwa hiyom serikali inamjua tapeli na hamna kitu inamfanya
 
Yani huwa najisikia faraja sana mwamposa akipiga pesa kwa kutumia biblia , hiyo biblia ndio iliyofanya wakoloni wakatutapelia lakini sisi wamatumbi tukiitumia kupiga pesa mnalalama kwa nini lakini?
All religious institutions which came into existence soon after Mwalimu Nyerere stepped down, are supposed to be suspended.

Conmanship (of any kind and form) should not be given a chance in our land.
 
Hapa hakuna Jesus wewe nanga. Ni tapeli kawadanganya wajinga waende kupata shortcut za matatizo yao. Upande mmoja una tapeli na upande wa pili wajinga wanaodhani shida zao zitatatuliwa kimuujiza. Hapa walienda kwa nia ya kuabudu ni wachache mno.
....and sadly enough, within that same congregation, some had once attended it for the past two years, but their financial and other difficulties still remain the same or worse than before.

People should always understand that, problems will never get out of humans lives. They are part and parcel of our livelihood and the best thing to do it to accept and come to terms with the realities of life, and then, move on.
 
Daslam bhana.
1725955291396.jpg
 
Back
Top Bottom