Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Wataalam wa sociolojia na saikolojia wabobezi[kama Dr Ellie] wafanye utafiti watwambie Watz wana matatizo gani ya akili na kijamii!
Suala la Mwamposa linaongea mambo mengi kwa wakati mmoja.
Kati ya mambo hayo ni
..tuna kizazi kilichokosa suluhisho na kufikiri kumekoma.
..tuna kizaz cha kupenda matokeo ya kujileta kimiujiza.
.. serkali imekwama kutatua changamoto za msingi za watu wake.
Hasa ajira, elimu na afya.
Watz Iq zetu zimeshuka mno kias hata serkali inapotoa mwanga tunaona giza.
..elimu yetu haina package nzuri ya kutambua na kuhusianisha mazingira yetu ipasavyo.
Ambacho walau tunakubaliana wote mpaka sasa ni kwamba wale si kusanyiko linalotafsiri ucha Mungu.
Dini.
Siasa
Mpira,
Bora nijifungie ghetto nihesabu mavuzi la kwanza mpaka la mwisho(nikikosea naanza upya) kuliko kuhangaika na hivyo vitu.