Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe



Dini.
Siasa
Mpira,

Bora nijifungie ghetto nihesabu mavuzi la kwanza mpaka la mwisho(nikikosea naanza upya) kuliko kuhangaika na hivyo vitu.
 
Mwakani wataenda pia,na matatizo yao yale yale au yatakua yameongezeka zaidi,

Hakuna miujiza kwenye maisha,

Plan mambo yako,kua na nidhamu ya hela zako,kua muaminifu,
Saidia wenye shida wewe mwenyewe unapowaona,
Muombe Mungu kwa imani yako,

Mungu anamsikiliza kila mtu wala hana ubaguzi,kwanini shida zako uombewe kwa Mungu kwa kupitia mtu mwingine? huyo Mungu,wewe hakusikilizi?
 
Kwamba kila mwaka wanaambiwa wapokee tu hewa😁😁😁
 
This moron is there roaming freely in the streets and conning or scamming people with his urine infused water.

The guy should be in prison. He was never held accountable for the pain and suffering he caused to his deceased and their dependants.
 
This moron is there roaming freely in the streets and conning or scamming people with his urine infused water.

The guy should be in prison. He was never held accountable for the pain and suffering he caused to his deceased and their dependants.
We're on the same page/boat my brother. Congrats.

But, what did you say?? Urine infused whaaaaat?? Aisee. I didn't know this before....
 
Kuna mama mmoja mpaka leo (aged 70+) anamtukana sana Kakobe. Hana hamna naye baada ya akili kumrudi. Sema ndio basi tena.
Mkuu kuna namna sisi waafrica ni waoga wakukabiliana na changamoto na kupambana kuzitatua , watu wengi huwa wanafikiri changamoto zinatatuliwa kwa kufarijiwa tu 😁

Sasa hivi hata waganga wakienyeji ( wapiga ramli nao wanachanganya na habari za imani ya dini kidogo ili kuwaaminisha watu .
 
Mimi niombewe na Mwamposa, yeye huyo Mwamposa anaombewa na nani?? Mwamposa akitoa sadaka yake anampa nani??

Lini Mwamposa atatembea juu ya maji kama Yesu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…