Mwamposa: Watu zaidi ya Laki Nne na Nusu (450,000)+ Wameshiriki mkesha, Kawe

Jamaa huwa anachaa kibunda kuanzia mkuu wa mkoa, unapofanyika mkutano na vyombo vyote vya Usalama na wakuu wao, hivyo analindwa vyema.
 
Hii comment nitaiprint kwa ajili ya reference..
 
Ki Msingi hilo halikua kosa la Mwaposa.

Lilikua kosa la POLISI, Maana wao ndo wako na wajibu wa kuhakikisha mikutano kama hyo inafanyikwa bira kuleta madhara.
 
Ki Msingi hilo halikua kosa la Mwaposa.

Lilikua kosa la POLISI, Maana wao ndo wako na wajibu wa kuhakikisha mikutano kama hyo inafanyikwa bira kuleta madhara.
Kosa la Polisi ni kutomkamata Mwamposa na kumchukulia hatua zingine za kisheria.

Seo hao wajinga wa imani acha wafe tu. Ni sehemu gani ya kwenye biblia Yesu aliwaamuru congregates kwenda kukanyaga mafuta ya upako, achilia mbali kuwauzia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…