Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu vimeenda dhidi ya ruvu,timu uliyotaka ishinde,vimeenda yanga ungeandika hapa!?Katoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamweTuanze kwenye red card je kwanini unasema kimakosa? Unatakiwa wewe uanze kutoa ufafanuzi kwanini useme kumakosa
Wapi nimeonesha ushabiki? Kisa kukuomba ufafanuzi ndio unatafsiri ushabiki. Kwanini useme kadi ya njano ilihali ndiye mtu wa mwisho?Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasiKatoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Teh teh teh kweli Dunia duara,leo hii Mashabiki wa Mikia mnaiomba CAF imulike TFF kwa matokeo na mpira keki wa Yanga?Sasa we ulitaka refa afanyeje? ungemlipia madeni yake?
Sema hapa CAF imulike tochi yake TFF kwasababu wao ndio wanafuga ubovu kwa kuwapanga marefa ambao wamekata ringi wachezeshe mechi
Kila timu itakayocheza na Yanga msimu huu lazima iseme imeonewa mana Yanga inakulazimisha kufanya makosa, ni kama Barca ya Pep ilikuwa inaonekana inabebwa kila mechi kumbe kiwango kilikuwa kikubwa mno. Pasi 20 wapinzani hawajagusa mpira si mchezo mzee, nasema hakuna timu hapa East Africa imewahi kupiga mpira kama Yanga ya sasa nasisitiza HAKUNA.Katoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Hizo Sheria zitskua za kwenu bunju,refa alikua karibu kaona Nani kashikaSoma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Red card imetolewa kwa sheria kwamba mchezaji wa mwisho ukimkata ni straight red, penalty jamaa alishika au labda kama sheria mpya zinaruhusu beki kushika, c unajua Corona imeathiri ufanisi wa miguu.Tuanze kwenye red card je kwanini unasema kimakosa? Unatakiwa wewe uanze kutoa ufafanuzi kwanini useme kumakosa
Maelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande ganWapi nimeonesha ushabiki? Kisa kukuomba ufafanuzi ndio unatafsiri ushabiki. Kwanini useme kadi ya njano ilihali ndiye mtu wa mwisho?
Acha ushenz,kamtukane mama yako,sjaanzisha Uzi ili tutukanane,haraf sjakaribisha mvuta bang Kama wewWewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi